CHADEMA yaweka historia: Mwaka 2015 CHADEMA iliingiza bungeni 23% ya wabunge wanawake wa kuchaguliwa Majimboni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,775
141,640
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 jumla ya wabunge 276 walichaguliwa majimboni kati yao wabunge wanawake walikuwa 26 na wanaume 250.

Kati ya hao wabunge 26 wanawake, wabunge 6 walitoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Hiyo ni sawa na 23% ya wabunge wanawake wenye majimbo.

CHADEMA hongereni kwa kuweka hii rekodi ambayo siyo rahisi kuja kuvunjwa na vyama vingine vya upinzani hivi karibuni

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom