wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. anti-negative energy

    Je, inawezekana wanaume kujiuza kwa wanawake?

    Jamani wanajamvi hebu tukusanyike leo tiudiscuss hii mada kwa pamoja, ni kwa muda mrefu sana tumekua na mazoea kwamba ni wanawake tu ndo wanajiuza, mi huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja, kwani hii inakuaje na wakati wote tuna pata raha, yani iweje wote tupate raha alafu mwisho wa siku mm ndo...
  2. Eagle J

    Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae... Je Tanzania kuna wanawake wa namna hiyo?
  3. Going Concern

    Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

    Ni muda mrefu sanaaa zaidi ya mwaka na sijapata nafasi ya kupitia jukwaa la Mapenzi labda kutokana na ubize au jukwaa la mapenzi kukosa mada za kushawishi na kujifunza kitu Kipya. Mara nyingi sanaaa mimi ni mpenzi wa jukwaa la Habari, siasa, Biashara na uchumi, pamoja na Jukwaa la Afya. Usiku...
  4. N

    Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

    Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo. Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia mazungumzo ya kebehi na urafiki. Hili ninakabiliana nalo kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali...
  5. C

    Baba kuingiza wanawake ndani kipindi mama amesafiri

    Wakuu hii imekaaje, nipo nyumbani kwa muda na mama mzazi amesafiri kwenda Dar kuwaona ndugu zangu wengine. Mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani na naona inakuwa too much. Naona kama hamheshimu bi mkubwa.
  6. Analogia Malenga

    Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

    Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra. Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke. Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi...
  7. W

    wanawake wanasumbua

    Message…nilkuwa na mchumba wangu toka mwaka 2014 tukawekeana ahad ya kuoana ntakapomalza chuo 2018 na shatuma wazaz kuongea mahar cha ajab 2017 kapewa mimba yaan ctosahau ndugu zangu wanawake c watu
  8. Jane Lowassa

    Kwanini wanawake wanalia?

    Hivi kwanini wanalia sana ikitokea habari mbaya?
  9. Nyendo

    Radi yaua wanawake watatu

    Mmoja alikumbwa na mauti wakati akikinga maji ya mvua nje ya nyumba yake wakati wawili walikuwa wakitoka shambani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alisema tukio la kwanza lilitokea jana saa 12 asubuhi katika Kijiji cha Kisaki kituoni wilayani Morogoro, ambapo mwanamke...
  10. Y

    Wanawake kuweni wabunifu wa kupiga mizinga

    Hizi style za mizinga zimezoeleka sana mpaka zinachosha kusikiliza. 1. Kuna msiba naomba uniongezee nauli nikazike 2. Mama anaumwa nataka nikamwone 3. Simu yangu imedumbukia kwenye maji nataka nikategeneze/ ninunulie. Tafadhali tafuteni swaga mpya hizi zimezoeleka mno Uzi tayari.
  11. Analogia Malenga

    Utafiti: Wanawake waliowazidi waume zao kwa miaka kumi au zaidi wanaridhika na kufurahia mahusiano kuliko wenye umri sawa

    Watu wengi hawapendelei mahusiano ambayo mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mwanaume. Mwanamke mwenye umri mkubwa anayetaka kutembea na vijana wadogo, kwa kiingereza huitwa Cougar, lakini wao hawana jina kwa vijana wa kiume wanaotaka wanawake wakubwa. Tanzania vijana hao huitwa vibenten Hali ya...
  12. dubu

    Wanawake wenye Matege are second to none, hutajuta

    Wakuu, Nliamua kufanya uchunguzi, tena wa kina kwa kipindi cha mvua na jua. Nikagundua wanawake wenye matege watamu sana wengi wao hawajijui kama ni watamu. Uke wao unatoa ushirikiano. Nlifanya mlinganisho nikakuta. 1. Wanakunjika vyovyote utakavyo. 2. Wameongezewa sukari nyingi na hii...
  13. Melanny

    Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

    Amani iwe nanyi.. Nawaombeni radhi kama ntakuwa nimewakwazaa. Wanawake wenzangu.mimi ni msichana na huwa nina marafiki wengi sana wakiume. Marafiki wa kike sina mazoea nao saana.coz hawawezi kukisaidia plus wivu hata kitu kidogo tu. Katika marafiki zangu wengi ambao ninao wakiume 95% huwa...
  14. beth

    Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR): Asilimia 70 ya Saratani yabainika kwa Wanawake

    Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imesema mzigo wa magonjwa ya saratani upo kwa wanawake kwa asilimia 70. Pia imesema hakuna takwimu za kuthibitisha Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya saratani nchini. Hayo yalielezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Prof...
  15. Abunwasi

    Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

    Wanajamvi, Hii nimeikuta ukutani kwangu nikaona kubwa ni busara kueleta hapa ingawa kwenye hili mimi sina upande ninaoshabikia . 'Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake...
  16. Superbug

    Suruali ya mwanaume kutuna sehemu ya mbele huongeza nyota ya kupendwa sana na wanawake

    Nimefanya utafiti kwa muda mrefu na kwa sample kubwa nikagundua kwamba ukiwa unahutubia au uko mbele ya hadhara ya wadada watupu wewe peke yako ukawa ndio mwanaume pale halafu suruali ikatuna kwa mbele (sio saaana mpaka ikawa aibu ) basi utapendwa Sana na zaidi ya nusu ya hao wadada...
  17. Electrician JF

    Wanawake jambo hili likiwatokea mnajisikiaje?

    Wewe ni ke alafu mdogo wako au dada ikitotea mmetembea kimapenzi na mwanaume na mwanaume mmoja ikitokea mmefahamu huwa mnajisikiaje? Dada chuo kikuu mdogo mtu A level
  18. S

    Kweli wanawake na maendeleo!?

    Mchezo huu ambaye hajawahi kuchezewa anyoshe kidole: Demu anakuhaidi anakuja getoo full kusafisha na perfume inaishia kuumwa milija ya pumbu popote waweze kuchezea Kwa mfanya mwanamke HELA, Gari n.k
Back
Top Bottom