Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Wanaume nchini wametakiwa kutowanyanyasa wanawake kwa kuwadhulumu haki zao, kuheshimu nafasi zao na zaidi kuepuka kuomba rushwa ya namna yoyote pindi wanapohitaji msaada.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Machi 8 mwaka...
Hongereni wanawake wote nimependa wimbo wenu wa supa woman,ki ukweli ni wimbo mzuri sana Hongereni kina mama Wasanii mlioimba hongereni mmeutendea wimbo haki yake.
Vitu nilivyopenda kwenye huu wimbo wenu
Kiitikio chenu kinanifanya niweke A-B ijirudie sichoki kabisa
mdada aliepiga hicho kifaa...
Habari Wadau.
Enhe,
Sina maelezo zaidi Ila,
Kama Uzi unavyosema,
Eti, kwa Jinsia ya Kike wale waliobahatika kuwa na Mwanya wa asili pamoja na wale wenye mashavu (ya Kichwani) yenye vishimo maarufu kama dimpoz,
Inasemekana ni wapenzi zaidi wa mchezo wa kujamiiana zaidi kuliko wale wasio na sifa...
Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual
Mwaka 2003, safari yangu ya kwenda Tanga iliiva kutoka mkoani Kilimanjaro, kwa babu mzaa baba, kuelekea Tanga kwa babu mzaa mama. Siku hiyo nyumbani kwa babu kulikuwa na sherehe, basi watu walikula na kucheza sana. Wakati wa kucheza babu akanikuta niko nimeshikilia jimama nacheza nalo, ile...
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.
Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
arusha
dar
dodoma
flash
kinyume
kinyume na maumbile
kuoa
kuwa makini
maumbile
mke
mke wa mtu
mpenzi
mtandao
mtu
nyuma
redio
singida
tanga
usaliti
wadada
wanawake
zanzibar
Kwa niliyoyashuhudia na ambayo naendelea Kuyashuhudia Mimi Msimamo wangu juu ya Hoja husika nitausema mwishoni kabisa ila kwa sasa naomba niwaachieni nanyi pia muweze Kufunguka kwani yawezekana nilichokipata kikawa siyo sahihi nanyi mkawa sahihi.
Ewe Mwenyezi Mungu tulinde tu Sisi waja wako na...
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani kitafanyika mkoani Simiyu ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amesema maadhimisho hayo yatatanguliwa na maonesho ya wajasiriamali...
#TatuZaJumatatu
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI INA MAANA GANI
| CHIMBUKO LAKE
Mwaka 1908 kulitokea mtafaruku na mjadala mkubwa kuhusiana na wanawake ikumbukwe miaka hiyo kulikuwa na unyanyasaji na kutokutambulika kwa haki za wanawake hali iliyopekea wanawake kuanza kupaza sauti na kuendesha kampeni...
BALOZI Getruda Mongela, amesema ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume katika chaguzi mbalimbali kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake.
Akizungumza jana katika mkutano uliowakutanisha viongozi wanawake nchini, Balozi Mongela alisema siku ambayo Bunge...
Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora
HIKI ni kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa nchi baada ya wanawake kujiunga katika vikundi vidogo vya maendeleo na kuanza kuwajengea waume zao nyumba bora, ikilinganishwa na maeneo mengine ya Tanzania tulivyozoea kuona wanaume ndio...
Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao au waliokua waume zao.
Matokeo ya uchunguzi huo yametokana visa ambavyo vimeshtakiwa au wahusika wamepatikana na hatia.
Sensa ya mauaji ya wanawake, ilifanywa na...
Huu ni uzi wenu mtiririke na kuserereka.
Mtaje top ten zenu kama sio five ya I'd za wanaume zenye majina matamu kwenu na yanayowavutia... For sure..
Nb nna imani ntakuwa wa kwanza.. 😎😎😎
*MWANAMKE ALIYEACHIKA ANAANDIKA*
Ninaandika haya ili uelewe kwamba ni vizuri kuwatambua wenza wetu na mchango wao licha ya mapungufu yao. Nina umri wa miaka 32. Mimi na mume wangu tulikaa kwenye uchumba kwa miaka 6. Tulikuwa marafiki sana. Nilimsubiri mpaka alipomaliza masomo yake ya chuo na...
Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game...
Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote mnazptumia kujua maumbile ya kiume zikiashiria ukubwa au urefu.
Je ni kweli mna tabia hizi
Leo nimejiskia kufanya fujo humu.
I predict mnaoandika mada zisizoisha za bikira, mko inexperienced ikija kwenye mapenzi, yaani ni watu reserved mnaogopa ku-explore.
Some of this group mumelelewa kwenye strict rules. Upringing yenu inafuata rules A, B, C; hakuna kuchanganya rules na lazima...
yaani unahudumiwa vizuri, unagegedwa vizuri... hadi unatoa milio yote ya simu mpaka unaikimbia dushe bt bado unataftwa na x aliekuacha kwa kukudhalilisha vibaya unarahisika na kumcheat mwenza wako???
tatizo ni nini?? naombeni mnijibu yenu, pia wahanga wenzangu tufarijiane
Jamani wanajamvi hebu tukusanyike leo tiudiscuss hii mada kwa pamoja, ni kwa muda mrefu sana tumekua na mazoea kwamba ni wanawake tu ndo wanajiuza, mi huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja, kwani hii inakuaje na wakati wote tuna pata raha, yani iweje wote tupate raha alafu mwisho wa siku mm ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.