Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Natumai hamjambo wakuu
Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu.
Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka...
Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe.
Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
Habari zenu wanawake wenzangu wa MMU.
Karibuni tujadili changamoto zinazotupata kipindi ambacho wapenzi wetu wawapo mbali, kikazi au kwa shughuli yoyote ile inayowafanya msionane kwa mda mrefu.
Mimi binafsi MUME wangu sipo naye karibu, ninaweza kukaa week 3 mpaka miezi 3 bila kuonana...
Mzuka Wanajamvi,
Baada ya umbea wa COVID-19 kwenye kijiwe chetu. Nikachukua baiskeli yangu kuelekea ghetto.
Njiani kwa mbele kulikuwa na mwanamke nikampigia miluzi na sauti za busu ili anipishe.
Alipogeuka kwa mshangao kumbe mama mkwe wangu
Yani nilinyonga faster kuelekea upande wa akina...
Siijui hiyo siku ila itakapokuja utakuwa msiba wa wanawake hakika.
Kuanzia upanga mpaka tukuyu
Buzurugwa mpaka korogwe
Naples mpaka turini
Ngarenaro mpaka same
Rukwa mpaka lufilyo
Moshi mpaka makorora
Kisumu mpaka horohoro
Bigwa Moro mpaka wanging'ombe
Songea mpaka chalinze
Mtalia na...
Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu
Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa pale unamtumia mpenzi wako vocha pengine ya1000/5000-unamtumia kwa lengo la upendo, ukitaraji pengine...
Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake.
Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar walikuwa wanaishi peke yao tu? Na kwanini pia Wadada (Wanawake) wengi wa Mkoani Dar es Salaam Siku hizi...
Kwanini Wanawake walio na Umri kati ya Miaka 38 hadi 48 ni wepesi sana Kutongozeka halafu ni Ving'ang'anizi sana Kimahusiano? Uzoefu wenu unahitajika sana Wandugu juu ya hili Suala nililolileta hapa mbeleni yenu kwani lipo sana tu.
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda.
Wakati mwingine huwa...
Wakuu naandika haha huku moyoni Nikita na uchungu sana kwa. Kweli.
Hapa mitaani ninapokaa kuna baadhi ya wamama wakiwa na watoto wao wadogo waliotelekezwa na waume zao wanateseka sana hapa mitaani na kutokana na kula yao kuwa ya shida afya zao sio nzuri na wengine kupelekea kuwaachisha...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.
Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Shirika la UNHCR ambalo linashughulika na wakimbizi limesema kutokana na janga la COVID19, Wanawake na Wasichana wapo katika hatari kubwa ya kunyanyaswa kijinsia
UNHCR imesema kufuatia nchi nyingi kufunga mipaka ili kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona, misaada iliyokuwa ikitolewa kwa...
Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
Asili ya jinsia ya kiume ni kumiliki majike wengi, angalia wanyama, ndege, samaki n.k Na kwa idadi iliyopo duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume. Na wengi wanahitaji kuwa kwenye mahusiano na wanaume, ila kutokana na uchache wa wanaume wanaishia kutamani kwa macho. Najiuliza huyu aliyeleta...
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi
Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.
Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post...
Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah.
Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi
Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.