wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

    Masikio yameumbiwa kusikia, moyo kutafakari na kuamua, akili kung'amua na kutambua lipi baya na lipi zuri, nafsi ndiyo wewe na mimi, ila Roho ndiyo uhai sasa, vinne hivi vipo ndani yetu, yaani kwenye miili yetu na ndiyo mimi na wewe sasa. Wanawake wa leo ujuaji umewaponza sana na mbeleni mwao...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa 'Upuuzi' na 'Ushamba' huu Wanawake wa Kitanzania mtaendelea sana 'Kudharaulika' na Kukosa Waume bora wa Kuwaoa

    "Nilijishusha sana kwa Uchebe, nilitumia nguvu zangu kum-brand, nilimheshimu sana bila kujali kipato chake. Nimemkuta ana folloers 3 Instagram, ndugu zangu hawakutaka kabisa niolewe nae. Pesa ya mtaji wa spare za gereji nimempa mimi, alikuwa anapiga picha kwenye maduka ya watu hata ufundi bado...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

    Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo! Tunaondoka Tarime kama hivyo!
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanawake wenye makalio makubwa hii iwafikie

    Siku hz imekuwa ni fahar sana kwa mwanamke kuwa na makalio makubwa yaan unakuta dada wa watu sura ngumu km physics lkn kisa km kalio basi analinga njia nzima tena kwa kuonesha yeye mwanamke basi analitingisha makusudi sasa kinachofuata ni watu kujiongeza mara unakuta kasimamishwa na uyu...
  5. SumadaVinci

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa siku hizi ndani ya magari tofauti

    Mfano kuna mdada hapa street jirani yetu lakini tukikutana huko town unamwona kwa ndinga tofauti kila weekend hadi inafika time watu wanasema anautumia mwili wake vyema kwa vigogo lakini kisomi zaid imebidi tuconclude yawezekana ana mishe mishe zake hatuzijui na venye wanawake wa sasa wamekuwa...
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabidi uwe na wanawake wangapi?

    Wanawake ni chombo muhimu sn kijamii na kiuchumi kwa mwanaume .Mwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr ukilinganisha na yule ambae yupo ktk mahusiano Sasa basi hawa wanawake ni watu wa matatizo sn mara upo period.mara ana mimba. Mara anaumwa na...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora mwanaume mnywa pombe au mvuta bangi?

    Jana katika mizunguko yangu nilienda sehemu kupata chakula kidogo kukawa kuna wadada wanabishana kuhusu jambo moja. Kati ya mwanaume mvuta bangi na mnywa pombe yupi ana afadhali ikiwa wote wanajiheshimu.. Je, wanawake wa humu JF swali langu ni bora uwe na mahusiano na mwanaume anaekula bangi...
  8. Cash Generating Unit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Bongo acheni kushobokea Waarabu

    Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa. Dada zetu Waarabu wana wapa nini?
  9. Zegota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini asilimia kubwa ya Wanawake wa leo wanajiuza tofauti yao ni mazingira tu ya upatikanaji wao

    Niko mkoani kwa wiki kadhaa kutafuta grisi ya kulainisha maisha na kipindi chote hiki naishi nyumba za wageni sina uenyeji sana katika mkoa huu zaidi ya kuwa na begi langu la nguo na laptop tu. Kuna mgahawa mmoja huwa ndio nakula hapo tangu nifike huku, una wahudumu wazuri sana na wakarimu mno...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wanawake wengi hatarini kukamatwa/kufungwa. Tujulishane hili

    Kutokana na TAKUKURU kuonekana wamepewa meno kukamata wanaotaka rushwa na pia watoaji. Kuna hatari kubwa ya wanaume na wanawake wengi kukamatwa. Tunajua jinsia ambavyo wadada wengi wamekuwa hawakubali kutoa penzi mpaka wapewe rushwa jambo hili limeonekana luwa linaleta changamoto kwa maskini...
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa mnasinzia haraka sana baada ya gegedo?

    Natumai hamjambo wanajamvi. Baada ya mpambano mkali wa burudani ya gegedo kwa bed wanawake hupitiwa na usingizi wa haraka sana, mnaweza kua mnapga stori mbili tatu baada ya game unashtukia mwenzako kashasinzia unaongea mwenyewe tu. Sasa nachojiuliza hali hiyo hutokana na nini maana kama ni...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume jueni ukweli huu ya wanawake utawasaidia

    Maandiko yaliwaonya ishini na wanawake kwa akili. Wanaume jueni haya juu ya wanawake ambayo hamyajui au mnayajua Ila hamtaki kukubali huu ndio ukweli. 1)wanawake baadhi sio wote wakipenda wanapenda kweli,wanauwezo wa kuwa na huyo mwanaume mmoja maisha yao yote ndani ya ndoa .Ila ni baadhi...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na namna wanawake wanavyotengwa na sisi wanaume misikitini na kwenye mazishi hujifanya nijione kidume

    Mimi ni mkatoliki ila nakiri wazi kwamba nafurahishwa na namna waislam kwenye ibada zao na mazishini wanavyowatenga wanawake wake peke yao. Yani nikiwaona wanawake wako nyuma wamekaa peke yao wamejifunika kanga au shungi au sisi wanaume tunapanda magari kwenda kuzika wao tunawaacha nyumbani...
  14. j wa nmb

    JamiiForums Tanzania Duh! Kuna wanawake mnatia aibu jamani

    Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu. Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi bonge la msimu hayo marashi ya kienyeji harufu yake inavyotoka hapo sasa. Jamani hayo mawigi kama...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa Mbeya wana mashepu?

    Wakuu kati ya maswali yanayogonga kichwa changu ni hili la kuhusiana na Wanawake Mbeya. Nilienda Mbeya wakati wa rikizo, na nilipata kutembelea wilaya mbalimbali za Mbeya. Nilichoshangaa kuona ni hiki, kila mwanamke niliye kua namwona alikua amebeba bonge la shepu nyuma lililo jazia. Sasa...
  16. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

    Tangu june 2019 mpaka hivi sasa. Nadhani unaweza kuniita player, ila kusema ukwel warembo wengi wanavutiwa na mimi. Mimi ni mtu wa viwanja sana, hivyo kwa kawaida napata one night stand si chini ya mara moja kwa wiki na warembo ninawadaka sehemu mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi niliyojifunza...
  17. Stroke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na wanawake wanaojisitiri (kuvaa hijab)

    Wakuu poleni na msiba. Mimi ni Mkristo ilaa, navutiwa sana na wanawake wanaopenda kujisitiri miili yao, ndugu zetu waislamu dada zao wanajitahidi sana. Unajua bwana heshima ya mwanamke ni kutunza mwili wake kwa mumewe tu, sasa hawa wakaa uchi wananikwaza mno. Yaani dunia imegeuka mashindano...
  18. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda kuji-mwambafy kuwa wana hela nyingi, kumbe wanafeki maisha

    Hii ishanitokea kwa wadada watatu tofauti, mdada anakutafta yeye mwenyewe, anakuja yeye mwenyewe, sio kwamba umemfata, na bando lake la simu anatumia kukupigia, tena mtu hauko sehem ya biashara, uko zako gheto, anakuomba muongee dili halafu anakupa ofa ya tsh laki 3, laki 5 au laki 2 kwenye dili...
  19. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wasio na chura wana heshima sana?

    Natumai hamjambo wakuu, japo tupo katika maombelezo ya kitaifa but mambo mengine hayana budi kuendelea. Wakuu sio siri mimi ni mpenzi wa wanawake wenye chura, bt kuna mara chache hujichanganya kwa wadada wenye flat screen zao. Aise! Nilichokigundua kwa hawa wadada wenye flat wana heshima ya...
  20. King Loto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

    Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora, Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana yaani kama nalala na bundi aiseee wanawake wote amna hata mmoja ambaye hajawahi kuniomba pesa at first...
Back
Top Bottom