Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

SheriaE

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
606
446
Habari za uzima ndugu zangu.

Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake :

1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume ,

2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu

3.Inasemekana kwamba mtaji wa kufanya biashara au shughuli yeyote ya kiuchumi ni kikwazo kwa wengi kuto jiajiri

4.Wema ni akiba

5.Kuto salimu watu barabaran ni dalili ya kuwa na kiburi

6.Kwa sehemu kubwa umaskin umesababishwa na uvivu

7.Kuto jiamin ni chanzo mojawapo cha kumfanya mtu asifanikiwe kwa jambo lolote katika maisha.


Karibuni wakuu!
 
Back
Top Bottom