wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. kibovu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapishana

    Igweeeeee, Wadau mambo vipi kiukweli ndugu zangu wanawake wanapishana masham sham baada ya kumgegeda bao la kwanza . Wadau sijui tatizo ni kwangu tu yaani kuna baazi ya wanawake nikimaliza kumgegeda bao la kwanza hata huwa sitaki kumuona natamani aondoke niendeleee kulala peke yangu tu na...
  2. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini kozi ya uuguzi (Nursing) inaitwa kozi ya wanawake?

    Kama uliwahi kujiuliza hili swali, basi jibu lipo hapa.. Mambo yoote yanaanzia kwa huyu mwanamama anaekwenda kwa jina la Florence Nightingale. Huyu anatambulika kama muuguzi wa kwanza kabisa duniani na ndie mwasisi wa kozi ya uuguzi. Kwa wale wenzetu wa mambo ya uuguzi, jina hili sio geni...
  3. Tajiri Mapesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

    Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata tukisimuliwa habari za kuloga lazima tutaambiwa mbibi fulani ndio ameroga. Tukisimuliwa habari za kuloga mume...
  4. gonamwitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najisikia raha sana ninapowaumiza wanawake

    Ahlan wasalan wanajukwaa salamu nawasalimia, Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi, mimi ni mmoja kati ya wanaume nilyeumizwa sana na wanawake imefikia stage nawachukia sana wanawake. Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu, kwa nia ya dhati kabisa nimedhamiria kuwaumiza wanawake na...
  5. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana moyo wa kuvumilia...

    Siku zote najinasibu ni mtu wa gambe, yes napiga tungi kwelikweli na hapa napost hii. Nimerudi nimemkuta mke wangu Muanglican anasali rosali. Nimefunguliwa na Dada Wa kazi, kanipakulia mke yupo tu chumbani. Naingia chumbani ananiambia “NAJUA UNA MTOTO NJE YA NDOA YETU, TUMEKAAA MIAKA MINNE...
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli baadhi ya wanawake/wanaume wana mikosi hapa Duniani?

    Salaam, Ni matumaini yangu makubwa kwamba wote tu wazima wa afya njema. Na kama kuna mtu anaumwa au afya yake imetetereka kidogo basi mwenyezi Mungu atakusimamia ili uweze kupona haraka na kuriudi katika hali yako ya kawaida. Kama kicha chwa huu uzi kimesemavyo ni kwamba nimekuwa nikisia watu...
  7. Chaliifrancisco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni Uzazi wa Mpango halafu kuweni Wastaarabu

    Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa. Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta nikakaza niaje basi juzi kati tukapanga kuwa leo ndio tutakutana fasi za niaje tuendelee kuyajenga...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ina ukweli wowote kwa Wanaume wa TZ na kwa wanawake je?

    Wanaume wa Tz hawakuambii it's over ila utapigwa matukio mpaka utakimbia mwenyewe.
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Wanawake ni wachache wanaojifunza 'Coding'

    FreeCodeCamp ni mmoja kati ya mtandao unaotoa elimu nyingi kuhusu kuandika ‘codes’ ili kutengeneza ‘projects’ mbalimbali ikiwemo kutengeneza ‘App’ za android, vikokotoo na tovuti Hivi karibuni wamefanya tafiti kwa watu 65,000 na mtokeo yalionyesha kuwa wanawake 7.7% walikuwa wanajifunza, wakati...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani 'Happy Hedhi Day' kwa Wanawake wote Duniani

    Leo ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya 'Hedhi kwa Wanawake' wote walio Hai Mimi naona nami hapa hapa nitoe Ushauri wangu Kwao... 1. Wawe wanazitupa vyema pale wanapomaliza Kuzitumia. 2. Wakiwa katika Vyoo vya Maofisini wahakikishe wawe wanazisukuma vizuri na Maji ili zisibakie. 3. Waache Kutumia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaofanya Kazi katika 'Madawati ya Jinsia' msipokuwa makini na aina ya 'Maswali' yenu kwa Wanaume mtakuja 'Kupigwa' siku moja

    Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa! 1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini? 2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa Mkeo? 3. Kwa kawaida Mkeo huwa unampiga Bao ngapi? 4. Mara yako ya mwisho Kumkatia Mkeo Viuno...
  13. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania WHO na kesi dhidi ya mila za Rwanda za kuongeza Kisimi

    VITA YA ‘WHO’ DHIDI YA RWANDA NA TAMADUNI YAO YA KUKUZA VISIMI KWA WANAWAKE. Nchini Rwanda na Burundi na baadhi ya nchi kama Zimbabwe, kuna mila ya wanawake au wasichana kuchua visimi (Labia minora) kwa mtindo wa kikuvuta mbele ili kiwe kirefu. Mila hii ni maarufu na kubwa sana nchi Rwanda...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa zamani walikuwa wanavumilia Vipondo vya Waume zao ila si wa sasa?

    Ni kwanini Wanawake wa siku hizi hawana tena Uvumilivu wa Kuhimili Vipigo Vitakatifu (vya Kishalubela) kutoka kwa Wanaume wakati Mama zao walikuwa wanaweza na tena wakipigwa ndiyo walikuwa wakiongeza Mapenzi kwa Wanaume na wala walikuwa hawalii na hawatangazi kwa Watu?
  15. Joyce joyce

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na...
  16. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubembelezwa?

    Kwa nini Wanawake wakiafrika wanapenda kuzungushana sana. Hivi huwa hawawezi kuwa straight, yes or no?. Hiki napenda, hiki sipendi?. Aargh
  17. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake maoni katika hili suala

    Kutongoza ndio msingi wa mahusiano na ndoa. Mahusiano mengi kama sio yote huanza kwa mwanamke kutongozwa kisha huamua akubali ama akatae. Mara nyingi mwanamke ndiye anaeamua kama haya mahusiano yaanze ama yasianze. Namna unavyomtongoza mwanamke inaweza kupelekea kukataa ama kukubali. Japo...
  18. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu wanawake wa Sinza.

    Sijui kama kuna watu wana mtazamo kama wangu juu ya wanawake wa Sinza. Kwanza, mimi ni mdau mkubwa wa kuopoa vimwana au kutongoza mitandaoni hasa hii dating sites badoo(mtandao wa makahaba, mashoga, majimama na watu waliokubuhu, tinder(my favourite), tantan(mtandao wa single mamas...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Wanaume kutoka Kanda ya Ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

    Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa...
  20. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

    Natumai hamjambo wananzengo. Nimekua nikijiuliza sana jambo hili bt ukweli sijapata majibu ya uhakika hivo nikaona nililete hapa tulijadili wakuu. Mimi pia ni mhanga wa jambo hili nimeoa mwanamke mzuri wa kawaida na si mzuri wa first class kama yalivokua matarajio yangu awali, bt nampenda sana...
Back
Top Bottom