Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

Rodriquz

Member
Aug 13, 2020
37
139
Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.

Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya

Baadaye upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba arudi.

Nipeni hata ushauri tu nifanyeje?
 
Pole mkuu,I feel you it's very sad.. achana nae huyo ukimrudisha atakuona mbumbumbu la mwisho.. tulia jipe muda ufanye maamuzi sahihi..

Saint Anne unaona wanawake wenzako huku..? Sasa ole wako uje unifanyie hivi walahi utumbo wako ntaulost na ntalia na ugali..😅
 
Mkuu usiruhusu huo ujinga unatafutiwa gepu utatangulizwa kaburini unajua huko kwao mpk sasa anapewa semina gani ? Umeshajiuliza hilo ...... Je wanawake wameisha katika hiii dunia ... Hata kama mna mtoto hata huyo mtoto anaweza asiwe wako !! Mtoto asiwe kamba ya kukunyongea ..... Tafuta mwanamke mwingine sogeza ukae nae maisha yaendeleee

Mwanamke ukiona anaanza kumvulia mwanaume mwingine nguo jua huyo amevaa roho nyingine unapaswa kuwa makini sana
 
Hakuombi kurudi kisa anakupenda au kajutia, ni kwamaba anaomba arudi kwa faida yake mwenyewe maanamaisha ya kijijini yamemnyoonsha. Huenda jamaa angekuwa na vijisenti akamchukua wala asingekuomba kurudi ila angekuwa anakupiga majungu kwa status za whatsapp.

We fanya kulea mwanao
 
Mwanamke akianza kukuonyesha dalili ya kuwa na mazoea na mwanaume mwingine na wewe ukaona na yeye akajua umestukia ila akapretend hamna kinachoendelea halafu nyote mkakaa kimya then mnatengeneza bomu kubwa sana......

Baadhi ya wanawake katika mahusiano inapokuja swala la uaminifu huwa wanabehave childishly, so the only option ni kudeal now at the early stagez...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom