Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
688
1,722
Juzi Kati baada ya kumaliza mizunguko yangu ya kazi nikaona nitafute Barbershop ya kisasa inayoeleweka nifanye usafi wa ngozi.

Mjini Kati nikaona Barbershop matata Full Brand ikabidi nizame ndani nikakutana na vinyozi tukala story mbili tatu baada ya hapo akatokea Dada akanikaribisha katika chumba cha ndani, kufika huko nimekaa kwenye kiti mtoto pisi akaniegemea begani kwa mahaba karibu kaka nikuhudumie nikapigwa ganzi matata ila kwakuwa fikra zinaniongoza haikuwa shida akanipiga Scrub akamaliza nikajikuta naongeza huduma zingine bila kupenda sijui kusafisha mmba na steaming yote hayo kutokana na madoido ya mtoto.

Baada ya hapo akatoka mzee katika chumba cha Massage anapandisha suruali akoondoka halafu akafuata pisi hatari anahesabu misimbazi , mwenzake akamuuliza mbona umechukua muda yeye akamjibu kwani unazani mzee angeniacha hivi hivi. Moyoni nilichoka
 
Kaka si uchune tu- maisha ni magumu kila mtu anakula kwa ujanja wake!!

Hawa mabinti wana watoto na wadogo zao...ukijichanganya wachangie.
 
Kaka si uchune tu- maisha ni magumu kila mtu anakula kwa ujanja wake!!

Hawa mabinti wana watoto na wadogo zao...ukijichanganya wachangie.
[/QUOTE
Ni kazi kama zingine ila wapunguze madoido ya kimahaba
 
Juzi Kati baada ya kumaliza mizunguko yangu ya kazi nikaona nitafute Barbershop yakisasa inayoeleweka nifanye usafi wa ngozi.
Sio kwamba napinga supposition yako..., ila technically sample ya hii barbershop moja haimaanishi barbershop zote /nyingi za kiume zinafanya hii kitu...., Ushauri; Ongeza utafiti zaidi ili kupata sample zitakazoleta uhakika wa conclusion....
 
Back
Top Bottom