Dah! Nilivyomuacha tu kaolewa na tajiri

Nilishaandika humu wanaume kushindana na mwanamke ni ngumu wao walishaga shinda toka zamani!.. so ukitaka kushindana nao washindishe ushindi fake!.. ni kama mtu anaekalia puto muda wowote linaweza pasuka! Hivyo ndivyo unaweza cheza na hao viumbe.
 
ukimtakia mtu jambo baya, mungu humbarikia zaidi ili uzidi kuumia na roho mbaya yako, roho mbaya huondoa baraka maishani na huleta gundu na mikosi, jitaidi sana kujizuia na kuwatakia mabaya watu ili upate kubarikiwa.
 
Sio roho mbaya..Alitaka atembelee nyota yangu tu na kafanikisha
 
Ulimwacha ili asiolewe...., (hio ndio definition ya uchawi)

Watu tunafanya makosa kutengeneza maadui kwenye marafiki..., mimi kwa bahati mbaya nikimuacha / nikiachana na mtu kwa sababu moja ama nyingine nita-wish huyo mtu afanikiwe ili apate mtu mwingine sababu kuachana sio uadui na hujui kwenye shida huyo mtu anayekufahamu huenda ndio akawa msaada kwako....
 
Back
Top Bottom