Baadhi ya wanawake hawapo serious kabisa kwenye mahusiano

Baadhi ya wanawake hawapo serious kabisa kwenye mahusiano

Rodriquz

Member
Joined
Aug 13, 2020
Posts
37
Reaction score
139
Unamtongoza bi\dada anakukubalia siku hiyo hiyo lakini sasa kukupenda itakubidi ufanye kazi kubwa sana. Utasikia mimi nimeumizwa simwamini mwanaume, ngoja kwanza nikuchunguze halafu ndo nitakuonyesha mapenzi yangu.

UNICHUNGUZEE? WE NI TAKUKURU? Kibaya zaidi mnakuwa mnapanga appoitiment anakuwa na promise feki, ukimuita geto anakwambia sikai ndani ntakaa njee, zile action za mapenzi hataki mfanye ata kumshka tu mkono.

Dah ni atari sana
 
Achana nao mkuu.

Fanya yako ,haya mambo huwa sio ya kulazimisha .


Usipoteze muda wako
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Unamtongoza bi dada anakukubalia siku hiyo hiyo lakn sasa kukupenda itakubidi ufanye kaz kubwa sana utasikia me nimeumizwa simwamini mwanaume ngoja kwanza nikuchunguze halafu ndo ntakuonyesha mapenz yangu, UNICHUNGUZEE,,,? WE NI TAKUKURU,? Kibaya zaid mnakuwa mnapanga appoitiment anakuwa na promise feki, ukimuita geto anakwambia sikai ndani ntakaa njee, zile action za mapenzi hataki mfanye ata kumshka tu mkono. Dah ni atari sana
Kwani ni sheria kuwa akija geto ni lazima aingie ndani?
 
Back
Top Bottom