Wanawake ambao hawajaolewa wanakosea hapa

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Salaam wana jukwaa,

Nijambo zuri kama tukiwa na jamii ya watu wenye furaha na kati ya vitu vinawakosesha furaha wanawake wengi zama hizi ni kutoolewa.

Sasa katika "jitihada za kumsaka" mume kuna makosa makubwa wanzetu hawa wanayafanya. Ila kosa kubwa na linalotamalaki sana ni hili, wanawake hawa wanadhani sisi wanaume tunavutiwa na mambo wanayowavutia wao.

Yani wanawake kiasili wanavutiwa na mwanaume jasiri, mtafutaji aliefikia mafanikio kadha wa kadha. Sasa utakuta mwanamke anaposaka mwenza anajinadi ifuatavyo nanukuu:

1. Mimi umri *****
2. Naishi ******
3. Nimesoma nina degree
4. Mimi nina kazi sio tegemezi
5. Nayajua maisha ni mpambanaji
6. Nina miradi huku na kule
7. Nimejenga **** naishi kwangu
Nataka mwanaume 1...2...3
Alie interested anicheck PM
mwisho wa kunukuu.

Kama umegundua uandishi huo unajionyesha mafanikio ambayo ni jambo zuri kua nayo ila kwa mwanaume sio hasa kipaumbele katika kumpata mke.

Hata hapa jf kwenye love connect utakuta wanawake wote wanatafuta mume kwa hulka hiyo huku wakipuuza kujieleza hasa kwa criteria za kike au labda hata tusiwalaumu labda hawajui wanaume tunamtaka mwanamke wa aina gani.

Ngoja niweke kitu sawa, mwanaume anavutiwa na urembo asili wa mwanamke, utii, heshima, maadili ya kwao, unyenyekevu, usikivu, uvumilivu sio madegree yenu na sijui una nyumba Kibaha. (japo sio jambo baya ukiwa navyo)


Binafsi nimeshaoa ila ningekua sijaoa na natafuta mke, hawa wakujitambulisha kwa idadi ya madegree yao na blah blah zingine nisingepoteza muda hata kuwasalimu tu, kwanini wasijieleze kwa quality za kike sifa ya mke, kwanini wakwepe kuelezea habari ya utii, heshida, etc jibu ni kua sifa hzo yamkini hawana kwahyo wanajipaka manukato ya sifa za kimafanikio, maelimu etc

Mwanamke wa hivi hata ukitoka nae on a date mazungumzo yake sio kuhusu maadili ya kwao wala utii wake hapana mazungumzo yake atajitahidi kuongelea degree yake, na blah blah na wanajionaga wanafaa kweli kua mke haa ha haa

Nawatahadharisha au nawapa angalizo kwa mwendo huo mtawapata wanaume type ya Uchebe ila kwamwe sio high value men. Au nisiwapangie basi endeleeni hivyo hivyo yamkini wanaume mnaowataka ni kina Uchebe maana sidhani mwanamke anaejifisia nina degree nina blah blah blah yuko tayari kuishi na kubehave kama mke.

Na last thing to say, men are very smart. Wanawatumia hawa wanawake na kwenda kuoa feminine ladies its so sad hawa masculine ladies wanaendelea kua masingle mothers.

Ila big up sana kwenu wanawake wenye elimu na carrier ila mnajitambulisha kwa feminine characters (maelimu na mafanikio hayajauondoa uanamke ndani yenu) japo ni wachache SANA.
 
Ni kweli

Siku nikiweka bandiko langu kule lavu konekti nitaweka sifa hivi
Najua kupika
Najua kufua
Najua kuhudumia mume
Niko na utayari wa kumuhudumia mume 24/7(house wife)
Nayajua vizuri mapenzi(ngono)
Nina heshima
Nina upendo na uaminifu
Nina hofu ya Mungu
Niko romantic
Navaaga kanga

Nikiweka hayo niliyoandika sijui zile comments za kejeli za watafutaji zitaisha?
 
right, elim, kazi na mijengo si kipaumbele kwa me wanaojielewa, hizo sifa labda akina marioo ndo wanaweza shobokea bt bora hata hayo masifa wangekua wanayataja kwenye sifa za ziada...
 
Ni kweli

Siku nikiweka bandiko langu kule lavu konekti nitaweka sifa hivi
Najua kupika
Najua kufua
Najua kuhudumia mume
Niko na utayari wa kumuhudumia mume 24/7(house wife)
Nayajua vizuri mapenzi(ngono)
Nina heshima
Nina upendo na uaminifu
Nina hofu ya Mungu
Niko romantic
Navaaga kanga

Nikiweka hayo niliyoandika sijui zile comments za kejeli za watafutaji zitaisha?
ukitaja haya wahitaji watakuelewa sana bt wazugaji kama kawa watatia maboko.
 
Ni kweli

Siku nikiweka bandiko langu kule lavu konekti nitaweka sifa hivi
Najua kupika
Najua kufua
Najua kuhudumia mume
Niko na utayari wa kumuhudumia mume 24/7(house wife)
Nayajua vizuri mapenzi(ngono)
Nina heshima
Nina upendo na uaminifu
Nina hofu ya Mungu
Niko romantic
Navaaga kanga

Nikiweka hayo niliyoandika sijui zile comments za kejeli za watafutaji zitaisha?
Kwa jinsi nilivyokuona Jana kwenye uzi wangu, NAKUOGOPA
 
Umeandika vizuri mkuu, nimefikiri na kuzidi kuelewa aliesema "Dunia uwanja wa fujo hakukosea".
 
Naomba nikushauri kwa upendo kabisa mkuu. When interacting with potential men, jitahidi kubehave femenine, frigile and tender ina leta mvuto flani kwa mwanaume atakupenda bila kutumia nguvu yoyote,
Ila niamini kujifanya musculine, jasiri inakata stimu kabisa. Kuna msanii flani wa kike anajiita komando daaah utatafakari mwenyewe relationship life yake.

Sometime ukima unazungumza nae jifanye hata kutojua mambo fulani akuelekeze, haupotezi chochote ila it will pay you back big time trust me.

Asante sana kwa ushauri
 
Ni kweli

Siku nikiweka bandiko langu kule lavu konekti nitaweka sifa hivi
Najua kupika
Najua kufua
Najua kuhudumia mume
Niko na utayari wa kumuhudumia mume 24/7(house wife)
Nayajua vizuri mapenzi(ngono)
Nina heshima
Nina upendo na uaminifu
Nina hofu ya Mungu
Niko romantic
Navaaga kanga

Nikiweka hayo niliyoandika sijui zile comments za kejeli za watafutaji zitaisha?
You smart ass (kumbuka ule utani wako)...Matumizi bora kabisa ya kejeli na dhihaka...typical you !!!
 
Back
Top Bottom