wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Wanawake ni wengi kuliko wanaume ila kila mwanamke utakayekutana naye kuwa na mwanaume

    Naona hawa wafanya takwimu kujua idadi ya wanaume na wanawake kuna vitu wanakosea kukusanya haya maelezo. Idadi tunayo ambiwa ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume kama wanavosema. ila kila mwanamke unaye mtongoza lazama ana mahusiano au alikuwa na mtu!. Nauliza idadi ya wanawake ni wengi kuliko...
  2. 44mg44

    Hivi kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?

    Nipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sijawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu. Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo: 1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote? 2. Au kuna wanawake ambao huwa...
  3. T

    Ni kwa nini viongozi wanawake hawana ujasiri wa kutambulisha wenzi wao kama wafanyavyo wanaume?

    Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu. Ila kwa upande wa viongozi wanawake walio wengi huwa hawapendi kutambulisha wenza wao na mara nyingi ni rahisi sana kumfahamu mke wa kiongozi fulani, ila kinyume...
  4. Binadamu Mtakatifu

    Ukweli kuhusu mbingu na urembo wa wanawake au mitindo ya fashion

    Hello ni mimi tena BINADAMU MTAKATIFU natumai mu wazima wa afya, Leo bwana nataka tusemezane kuhusu zaidi utakatifu na mbinu za adui(Ufalme wa giza) Kuna watu wengi ambao wamepotoshwa sana leo sitazungumzia dini ila kwa kiasi nwenye akili atatambua lililo sahihi sio kila mtu atakwenda mbinguni...
  5. Miss Zomboko

    Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

    Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
  6. Frumence M Kyauke

    Wanawake wafungua saloon za kunyoa mitindo ya kiume

    Wimbi kubwa la wanawake wanaopenda kunyoa nywele zao kwa mitindo kama ya wanaume limezidi kuongezeka na pia Saluni nyingi za kiume zimedaiwa kushindwa kuwanyoa vizuri wanawake na kuhakikisha wanapendeza. Lakini wanawake wamekuwa wakikosa amani ya moyo (wamekuwa na hofu) pindi wanapolazimika...
  7. Anna Nkya

    Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

    Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana. Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga. Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda. Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au...
  8. SubTopic

    Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  9. beth

    TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

    Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa...
  10. M

    Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
  11. Replica

    Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

    Leo Rais Samia Suluhu atapokea kombe la COSAFA Ikulu ya Dar es Salaam kutoka timu ya wanawake, Twiga Stars ililipata kombe hilo nchini Afrika Kusini baada ya kuishinda timu ya wanawake ya Malawi. Kuwa nami kwa yatakayojiri ========= Anaeongea sasa ni Katibu mkuu, Dkt. Hassan Abbas na...
  12. Shadow7

    Uhusiano wa upungufu wa damu na lishe kwa wanawake

    Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi, na tatizo la upungufu wa damu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5? Ni nadra sana kuona wataalamu...
  13. I

    Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  14. themagnificient

    Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

    .
  15. evangelical

    Wanaume wanaohudhuria makongamano ya wanawake tuweleweje?

    Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao? Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria. Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao...
  16. GENTAMYCINE

    Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

    Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno...
  17. Fbn

    Kwanini wanaume tunapenda wanawake walioshindikana?

    Hapa mtaani kuna madoni kama watatu. Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja. Doni wa pili alipata mke ambaye ni kicheche mtaa mzima alipotoka kwao wamejishindia amri ya sita. Doni wa tatu alipata mke...
  18. Fbn

    Wanaume tunarogwa sana na wanawake

    Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake. Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu. Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k Sasa yeye mwanamke ili kuweka...
  19. Zee Korofi

    Njaa mbaya wanaume, acha tu wanawake wapende pesa

    Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa. Kuna muda unapigwa mzinga mzito, unaishia kulaani kabisa na kumtukana huyo bae wako. Ila jua tu ana wazazi...
  20. Fbn

    Wanawake wengi tabia zao hubadilishwa na rafiki zao wa kike

    Asilimia kubwa ya wanawake ambao wengine ni wake zetu, wapenzi wetu, dada zetu, mama zetu, ndugu zetu n.k. Ila kwa uzoefu nilionao wanawake wengi ukiona kabadilika kwa mazuri au mabaya basi tambua akili yake au ufahamu wake unashikiliwa na mwanamke mwenzake, haijalishi ni ndugu, rafiki, jirani...
Back
Top Bottom