wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. saci

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msiombe hela ombeni KAZI

    Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka. Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti. Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene. Elfu 40 nanunua units 116 za umeme. Elfu 40 nanunua mapazia mawili. Elfu 40 najaza gesi mtungi mkubwa. Basi baada ya...
  2. osmaney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume?

    Uzi mfupi, sitaki kukuchosha Habari wanaJamiiForum! Mara kadhaa nimekua nikikutana na hii kauli " wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume" sema mara nyingi huwa hawajioneshi wakihofia wanaume tutawachukulia vibaya. Hivi kuna ukweli wowote hapo?
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni wengi kuliko wanaume ila kila mwanamke utakayekutana naye kuwa na mwanaume

    Naona hawa wafanya takwimu kujua idadi ya wanaume na wanawake kuna vitu wanakosea kukusanya haya maelezo. Idadi tunayo ambiwa ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume kama wanavosema. ila kila mwanamke unaye mtongoza lazama ana mahusiano au alikuwa na mtu!. Nauliza idadi ya wanawake ni wengi kuliko...
  4. 44mg44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?

    Nipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sijawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu. Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo: 1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote? 2. Au kuna wanawake ambao huwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini viongozi wanawake hawana ujasiri wa kutambulisha wenzi wao kama wafanyavyo wanaume?

    Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu. Ila kwa upande wa viongozi wanawake walio wengi huwa hawapendi kutambulisha wenza wao na mara nyingi ni rahisi sana kumfahamu mke wa kiongozi fulani, ila kinyume...
  6. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mbingu na urembo wa wanawake au mitindo ya fashion

    Hello ni mimi tena BINADAMU MTAKATIFU natumai mu wazima wa afya, Leo bwana nataka tusemezane kuhusu zaidi utakatifu na mbinu za adui(Ufalme wa giza) Kuna watu wengi ambao wamepotoshwa sana leo sitazungumzia dini ila kwa kiasi nwenye akili atatambua lililo sahihi sio kila mtu atakwenda mbinguni...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

    Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Wanawake wafungua saloon za kunyoa mitindo ya kiume

    Wimbi kubwa la wanawake wanaopenda kunyoa nywele zao kwa mitindo kama ya wanaume limezidi kuongezeka na pia Saluni nyingi za kiume zimedaiwa kushindwa kuwanyoa vizuri wanawake na kuhakikisha wanapendeza. Lakini wanawake wamekuwa wakikosa amani ya moyo (wamekuwa na hofu) pindi wanapolazimika...
  9. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

    Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana. Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga. Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda. Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au...
  10. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  11. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

    Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

    Leo Rais Samia Suluhu atapokea kombe la COSAFA Ikulu ya Dar es Salaam kutoka timu ya wanawake, Twiga Stars ililipata kombe hilo nchini Afrika Kusini baada ya kuishinda timu ya wanawake ya Malawi. Kuwa nami kwa yatakayojiri ========= Anaeongea sasa ni Katibu mkuu, Dkt. Hassan Abbas na...
  14. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa upungufu wa damu na lishe kwa wanawake

    Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi, na tatizo la upungufu wa damu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5? Ni nadra sana kuona wataalamu...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  16. themagnificient

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

    .
  17. evangelical

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohudhuria makongamano ya wanawake tuweleweje?

    Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao? Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria. Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

    Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno...
  19. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tunapenda wanawake walioshindikana?

    Hapa mtaani kuna madoni kama watatu. Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja. Doni wa pili alipata mke ambaye ni kicheche mtaa mzima alipotoka kwao wamejishindia amri ya sita. Doni wa tatu alipata mke...
  20. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunarogwa sana na wanawake

    Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake. Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu. Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k Sasa yeye mwanamke ili kuweka...
Back
Top Bottom