wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno

    Habari ya muda huu natumai muwazima nyote. Moja kwa moja nisipoteze muda. Tukio la leo(jana) limenifanya nikakumbuka miaka michache iliyopita nilipoteza fahamu katika moja ya usafiri wa umma, kizunguzungu kikali sana kilinipata nikajikuta naanza kuyumba (kupepesuka)nilikuwa natafuta nafasi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tulia aonya wanaume kupiga wake zao. Kama wewe unasikia maumivu ukipigwa basi na mwanamke anasikia maumivu

    NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amezindua kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, huku akiwataka wanaume kuacha kuwapiga wanawake na kuwafanyia ukatili wa aina mbalimbali. Akizungumza kwenye uzinduzi huo, jana, jijini Dar es Salaam, Dk. Tulia alisema jamii...
  3. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanaume wengi wa Mkoani Mbeya wanapenda kulelewa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa wa Mbeya, wameachiwa jukumu la kuendesha familia zao huku wanaume wakiongoza kufanya vitendo vya dhuluma dhidi ya mali zinazotafutwa na wake zao. Chalamila ameyasema hayo wakati akifunga kongamano la sita...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume mliooa acheni tabia ya kununia wake zenu otherwise tutawachapia sana

    Habari zenu watanganyika wenzangu Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono. Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaopanda Daladala 24/7 hali hii ikikutokea kwa Abiria wa Kike unadhani suluhisho la haraka yeye kufanya ni lipi?

    Ikikutokea umepanda Dala Dala halafu umesimama ( umeshika Chuma ) na mbele yako ameketi ( amekaa ) Mwanamke na mara Yeye wakati labda 'anachati' na Simu akaugusa Uume ( Mkuyenge ) wako ambao na wenyewe kwa bahati nzuri hapo hapo ukaonyesha Ushirikiano wake wa Kusimama Kwake Kiukakamavu (...
  6. JamiiForums Tanzania Hili la siku ya wanaume duniani kuingiliana na siku ya maadhimisho ya Choo imekaaje?

    Leo ni siku ya wanaume duniani lakini siku hii imekuja wakati ambapo Kuna maadhimisho ya siku ya Choo. Huko mitandaoni kashfa zimekuwa nyingi sana, hii siku imekosa thamani kabisa leo. Kweli wanaume siku hizi tunapenda vyoo hasa vile vikubwa Ila hii ya leo imezidi. =============...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohonga ndiyo wanawaaribu wanawake

    Kwanza tukubaliane kuna tofauti kati ya kuhonga na kumpa mwanamke vitu. Ufafanuzi:πŸ‘‡πŸ‘‡ Kuhonga ni kutumia vitu kama pesa,vitu vizuri vya anasa kumshawishi mwanamke ili kutimiza lengo lako. Kumpa mwanamke kitu pale anapoomba hupaswi kutoa kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako,yani toa kwa moyo wako...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamkee wako asikufanye usahau wazazi wako

    Habarini jamani, Kumekuwa na mambo mengi haswa wanaume kusahau wazazi wetu haswa wakishaowana au wakiwa na uchumba yani watu wanajisahau sana wanashindwa kujua kuwa wazazi ndo baraka kwa maendeleo. Mzazi alijitoa kwako kwa hali na mali, alijinyima alifungu ili wewe ufike hapo galfa unaobwa...
  9. JamiiForums Tanzania Chanzo cha wanaume kufa mapema

    * Nimefundisha semina nyingi za wajane 99.9% wanaohudhuria ni wanawake. Mchango huu hapa chini una ukweli usiofichika. πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ SABABU INAYOFANYA WABABA KUFA MAPEMA!! Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake, familia...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa mapema kwenye ndoa kwa sababu moja kubwa ya wao kuwa na umri mkubwa kuliko wake zao

    Wengi tumekuwa tukidiscuss kwa nini wanaume wengi huwa tunakufa mapema katika ndoa kuliko mababu zetu. Sababu moja kubwa ambayo tunaisahau ni kuwa kiasili mtu mwenye umri mkubwa sana ndio huwahi kufa kwa asilimia kubwa na hii ndio ilivyo kitamaduni tulivyozoea. Sasa tukija kwenye mas'ala ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu

    Wanaume tunapitia changamoto nyingi sana, hii Dunia iko very harsh and unfriendly kwa mwanaume and this is how it was created to be. Alternative na mwanaume kuishi, kula, kunywa, kupata raha nyingine zote za Dunia bila kuparangana, kuhatarisha maisha na kadhalika ni next to impossible labda...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume Wabishi ndio tumebaki hewani

    Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Vyuma,Mipini,Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii. Wengi wanalalamika mitandao haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi...
  13. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria, acha kulaumu wanaume muda wote. Anza sasa kufuatilia matatizo ya wanawake kwenye ndoa zao

    Habari, Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo? Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi? Wanaume wasioweza kusema...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe tunatimiza ahadi kwa wapenzi au wake zetu

    Wadau wanaume tumekuwa wazee wa sound na kuna ishu nasikilizia mara nitakupa mara kuwa mvumilivu alafu ukipata gafla unabadilika kama mvua ya masika kama unajua huwezi kutimizi piga moyo konde utulie si kuahidi tu. Ndo sababu watu wanagongewa wanawake wao ovyo ahadi kibao maneno mengii...
  15. JamiiForums Tanzania Kama huu 'Utafiti' wa 'Kisayansi' ni kweli basi nashauri Wanaume wote tuanze Kudai 'Pesa' zetu tulizokuwa 'tukiwahonga' Wanawake

    Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam' wamedhamiria katika kutuelezea ukweli wao hii 65% ya 'Utamu Kunoga' wanaopata Wanawake wameigawanya...
  16. JamiiForums Tanzania Enyi Wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo Mwanamke atakukoroga maisha yako yote

    BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated" Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa yoyote inayovunjika chanzo ni wanaume

    In any case chanzo cha ndoa yoyote kuvunjika chanzo ni mwanaume. 1. Mfano ukisema ume divorce sababu mama kachepuka lazima kosa ni lako kwa maana ya kwamba hukufanya Uchunguzi wa kutosha kwenye kutafuta mchumba au ulifanya then ukaja ukaboronga baada ya kumuoa
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume ninapowaambia jijengeeni tabia ya kuwa na 'Mahawara' ili muondokane na huu 'Ushamba' na 'Upumbavu' muwe mnanielewa!

    AUA MKE KWA KISU KISA WIVU WA MAPENZI SHINYANGA: Oktoba 11, 2020 Mkazi wa Didia Shinyanga Vijijini, Eliya Paulo Shija (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua Mke wake Mariam Juliasi (26) kwa kumchoma na kisu sehemu za shingoni usiku akiwa amelala akimtuhumu kuwa si mwaminifu...
  19. JamiiForums Tanzania Style Mpya ya nguo kwa wanaume Mjini

  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnafeli kuendekeza marafiki kuliko wapenzi wenu

    Jamii yetu inapitia kipindi kigumu cha kucopy na utandawazi ,technology etc.Hii imepelekea janga kubwa la Vijana hususani wa kiume (na baadhi wakike ) wenye mahusiano kuiga hulka za vijana wa maghalibi kupenda kutumia muda wao na marafiki (Washkaji /Masela) zaidi ya wapenzi wao . Marafiki ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…