Hili la siku ya wanaume duniani kuingiliana na siku ya maadhimisho ya Choo imekaaje?

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
4,610
2,000
Leo ni siku ya wanaume duniani lakini siku hii imekuja wakati ambapo Kuna maadhimisho ya siku ya Choo.

Huko mitandaoni kashfa zimekuwa nyingi sana, hii siku imekosa thamani kabisa leo.

Kweli wanaume siku hizi tunapenda vyoo hasa vile vikubwa Ila hii ya leo imezidi.

=============

International Men's Day is celebrated every year on November 19. The day is observed to commemorate the achievements and contributions of men and boys to the nation, society, community, family, marriage, and childcare.

International Men's Day history

International Men's Day was inaugurated in 1992 on February 7 by Thomas Oaster. In 1999, the event was revived by Jerome Teelucksing. He chose November 19 to acknowledge his father's birthday and to celebrate how on that date in 1989 Trinidad and Tobago's football team had united the country with their efforts to qualify for the World Cup.

International Men's Day 2020 theme

This year, International Men's Day theme is "Better health for men and boys" intending to make practical improvements to the health and wellbeing of the male population.​

 

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,474
2,000
Leo ni siku ya wanaume duniani lakini siku hii imekuja wakati ambapo Kuna maadhimisho ya siku ya Choo.

Huko mitandaoni kashfa zimekuwa nyingi sana, hii siku imekosa thamani kabisa leo.

Kweli wanaume siku hizi tunapenda vyoo hasa vile vikubwa Ila hii ya leo imezidi.
:D:D:D:D:D:D
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom