Wanaume mliooa acheni tabia ya kununia wake zenu otherwise tutawachapia sana

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,059
Habari zenu watanganyika wenzangu

Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.

Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
 
Mimi niliwashauri ..

Wanaume walooa wawasifie wake zao

Wakiendelea kuwanunia nawewe endelea kutafuna tu😂😂😂
Mwanaume hanunii/hamsusi mkewe....ukisusa wenzio Wala.
 
....Jamani Naona hao maaskofu wenu wanaosemaga ndoa na iheshimiwe na Watu wote huwa hamuwaelewi
 
Habari zenu watanganyika wenzangu?
Nishatafuna wake za watu kama watano hivi,sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi,so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.
Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
ukioa utajua kwanini inakua hivo
 
Habari zenu watanganyika wenzangu

Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.

Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
Kuna siku utajutia na utakua ushachelewa, jifunze kucheza karata yako kwa Hekima
 
Back
Top Bottom