Wanaume tuwe tunatimiza ahadi kwa wapenzi au wake zetu

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,376
Wadau wanaume tumekuwa wazee wa sound na kuna ishu nasikilizia mara nitakupa mara kuwa mvumilivu alafu ukipata gafla unabadilika kama mvua ya masika kama unajua huwezi kutimizi piga moyo konde utulie si kuahidi tu.

Ndo sababu watu wanagongewa wanawake wao ovyo ahadi kibao maneno mengii kanatokea kajama kanaahidi kitu kidgo na kutimiza on sport unazani akitaka mzigo atakosaaa.
 
Uanaume ni kuongopa na ahadi zisizotekelezeka.

Huoni Yesu alivyosema juu ya kurudi?
 
Back
Top Bottom