Wanaume ninapowaambia jijengeeni tabia ya kuwa na 'Mahawara' ili muondokane na huu 'Ushamba' na 'Upumbavu' muwe mnanielewa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
AUA MKE KWA KISU KISA WIVU WA MAPENZI

SHINYANGA: Oktoba 11, 2020

Mkazi wa Didia Shinyanga Vijijini, Eliya Paulo Shija (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua Mke wake Mariam Juliasi (26) kwa kumchoma na kisu sehemu za shingoni usiku akiwa amelala akimtuhumu kuwa si mwaminifu katika ndoa yao.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga (ACP) Debora Magiligimba, ambayo imesema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya Saa saba usiku ambapo Eliya alitekeleza mauaji hayo akimtuhumu mkewe anamahusiano na mwanaume mwingine.

“Baada ya kutekeleza mauaji hayo Eliya alijijeruhi kwa kujichoma kwa kisu tumboni na kusababisha utumbo kutoka nje kwa lengo la kujiua kwa sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga na hali yake ni mbaya.” Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga (ACP) Debora Magiligimba.

uhurudigital

Mwanaume ukiwa na 'Hawara' tena Warembo kamwe huwezi kuwa na 'Umbwiga / Ushamba' na 'Upopoma / Upumbavu' huu kwa Mpenzi / Mkeo.
 
Mkuuu....Mbona una watangazia Watu kufanya uzinzi na Uzinifu..kwasababu hiyo Ndo njia yako haimaanishi itawafaa wote.

Kama unawanawake na huwaonei wivu...Basi Wewe unatatizo.

Man a selfish in nature..Sasa Kama wewe hao mahawala wako unaona nisawa TU walale na wanaume yoyote...UNSHIDA MKUU..

huko.kwenye Usabato Ndo wanafundisha hivi.
 
Ukitaka kufurahia mapenzi yachukulie kama kitu cha ziada sana katika maisha yako halafu pembeni uwe na KE kama 3 hivi hakika huwezi kumuonea wivu mkeo. Hata akisema anaenda safari unampa na box la condom. Siwezi kumuonea wivu mke wangu
Ikifikia hatua huwezi kumuonea wivu mpenzi wako ujue wewe umefikia kiwango cha watu wenye akili sana. Hakika utaishi maisha yenye furaha mpaka unazeeka. Ona huyo keshaua mke wake kisa mapenzi. Niende gerezani kisa mwanamke? Hiyo ni big NO
Mkuuu....Mbona una watangazia Watu kufanya uzinzi na Uzinifu..kwasababu hiyo Ndo njia yako haimaanishi itawafaa wote.

Kama unawanawake na huwaonei wivu...Basi Wewe unatatizo.

Man a selfish in nature..Sasa Kama wewe hao mahawala wako unaona nisawa TU walale na wanaume yoyote...UNSHIDA MKUU..

huko.kwenye Usabato Ndo wanafundisha hivi.
 
Kwa hiyo ukiibiwa mke kukasirika ni ushamba!!! Hiki kizazi cha sex liberalization shida, ndiyo hawa wanaofanya threesome, sex parties/orgies etc etc au kumruhusu mkewe akadange/akafanye ukahaba. Hizi story za alimnyatia usingizini ni uwongo mtupu nani alikuwepo, itakuwa marehemu aliulizwa akajibu hovyo mtuhumiwa akapandisha hasira akaua bila kukusudia, kama yule wa Arusha kahojiwa anamwambia mumewe lete ushahidi!

Sijui alete video au mashuka yenye sperms. Vipigo na Mauaji mengi yanatokea kwa victims kutoa majibu machafu na midomo kwa waume zao, na hata wakamatwe wangapi hayataacha kuongezeka kwa kuwa hufanyika kutokana na mtu kupandwa na hasira na kutodhamiria alichofanya
 
Kwa hiyo ukiibiwa mke kukasirika ni ushamba!!! Hiki kizazi cha sex liberalization shida, ndiyo hawa wanaofanya threesome, sex parties/orgies etc etc au kumruhusu mkewe akadange/akafanye ukahaba. Hz story za alimnyatia usingizini ni uwongo mtupu nani alikuwepo, itakuwa marehemu aliulizwa akajibu hovyo mtuhumiwa akapandisha hasira akaua bila kukusudia, kama yule wa Arusha kahojiwa anamwambia mumewe lete ushahidi!!!!! Sijui alete video au mashuka yenye sperms. Vipigo na Mauaji mengi yanatokea kwa victims kutoa majibu machafu na midomo kwa waume zao, na hata wakamatwe wangapi hayataacha kuongezeka kwa kuwa hufanyika kutokana na mtu kupandwa na hasira na kutodhamiria alichofanya
Watu wanachukulia juu juu tu bila kujua undani wake, hili nilishalishuhudia kwa macho mtu anamuuliza mkewe kwa upole tu mke anakuja juu na kudai hushahidi pasipokujua mume ana ushahidi kilichotokea hapo kilikuwa kipigo.
 
Back
Top Bottom