Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
In any case chanzo cha ndoa yoyote kuvunjika chanzo ni mwanaume.
1. Mfano ukisema ume divorce sababu mama kachepuka lazima kosa ni lako kwa maana ya kwamba hukufanya Uchunguzi wa kutosha kwenye kutafuta mchumba au ulifanya then ukaja ukaboronga baada ya kumuoa