Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Vyuma,Mipini,Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii.
Wengi wanalalamika mitandao haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi...