Kwanini wanaume wapole, waaminifu na wenye upendo wamepungua sana?

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
560
1,000
Salaam wanajukwaa,

Kumekua na malalamiko mengi miongoni mwa wanawake kua siku za hivi karibuni kumekua na upungufu wa wanaume waaminifu, wapole na wenye upendo wa dhati.

Katika kujaribu kutafuta majawabu ya swali hili pia nimekua najiuliza vipi wanaume wanaweza kubaki kua waaminifu huku wanawake wakiongeza speed ya kudanga.

Hivi inawezekanaje wanaume wakabaki kua waaminifu huku wanawake wakitolea macho pochi tu.

Je, wanaume watabaki vipi wapole huku wanawake wakizidi kua mangangari 50 kwa 50?

Na je, wanaume watabaki vipi wachangamfu huku wakipigwa kejeli kua wao vibamia, wanaume suruali nk?
 
Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
7,875
2,000
Mbona tupo mkuu?

Tatizo wanawake wa leo wanaamini pesa na ukwasi ndo suluhisho
 
ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,459
2,000
Hawana soko,hawana mvuto

Type hizo za wanaume wanaopoaga mademu waliotendwa wanatafuta kwa kupumzikia kwa miezi miwili mitatu then wakatafute mwanaume halisi

Umeona wapi mwanaummke anapemda mwanaume wa hivo?ukiona una sifa hizo juu na mwanamke kakupenda ujue ni ili akupelekeshe anavyotaka na usimfanye lolote...
 
Killboy

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
687
1,000
Nikuulize kwa nn pisi kali wakt wa kishuleshule walikuwa wanawaelewa wale mabarobaro ambao ndo wakimbiza mkia darasani?ila wale mabright huwa walikuwa wanakodolea tu macho wale warembo kwan walikuwa wakijipeleka wanakula za uso
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
1,808
2,000
hatusikiki koz hatuna pesaa. yan kwa.mwez kodi ya pango 50k yeye anatak atumie kama vocha tu. sasa wahuni wakimpigia honii na FUGA,crown au tako la nyani anaona hapo ndo kafika kimbe wahuni ndo wapita njia haswa
 
Ugobha

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
307
1,000
Sitaki kuwa mpole tena, kwanza demu anakudharau na pia kwenye mapenzi lazima unyanyasike, ilifika kipindi dem wangu ananiambia eti Mimi ni wa kila kitu ndio na nilijua ndo inavyotakiwa kuishi na hawa viumbe kumbe sivyo na alijua yuko peke yake , hapo na upole wangu niliona rangi Mara uombwe vocha ya namba ambayo huna, Mara cm bize usiku wa SAA tano ukiulizwa unaambiwa naongea na mama, nikachange rasmi mpaka Leo siwezi kuwa na kadem kamoja bora nikose kabisa wapo wanne naona kuna mmoja anakaribia kujiengua yaani nishachange sijali.
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
5,992
2,000
Salaam wanajukwaa,

Kumekua na malalamiko mengi miongoni mwa wanawake kua siku za hivi karibuni kumekua na upungufu wa wanaume waaminifu, wapole na wenye upendo wa dhati.

Katika kujaribu kutafuta majawabu ya swali hili pia nimekua najiuliza vipi wanaume wanaweza kubaki kua waaminifu huku wanawake wakiongeza speed ya kudanga.

Hivi inawezekanaje wanaume wakabaki kua waaminifu huku wanawake wakitolea macho pochi tu.

Je wanaume watabaki vipi wapole huku wanawake wakizidi kua mangangari 50 kwa 50.

Na je wanaume watabaki vipi wachangamfu huku wakipigwa kejeli kua wao vibamia, wanaume suruali nk.
Sometimes wanawake wanawapoteza wao wenyewe kwa kutokuwa waaminifu na kuwatenda mwisho wa siku nao wanakuwa manunda.
 
danielhipoliti

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
272
500
Very true

Ukiwa mpole hesabu maumivu

Labda uwe mpole ,smart afu hueleweki yaani humpi attention apo ni kidogo anaweza kutulia
Hawana soko,hawana mvuto

Type hizo za wanaume wanaopoaga mademu waliotendwa wanatafuta kwa kupumzikia kwa miezi miwili mitatu then wakatafute mwanaume halisi

Umeona wapi mwanaummke anapemda mwanaume wa hivo?ukiona una sifa hizo juu na mwanamke kakupenda ujue ni ili akupelekeshe anavyotaka na usimfanye lolote...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom