wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbuzi kagoma kwenda ndio mtindo pendwa zaidi kwa wanaume kunako sita kwa sita

    Wanaume wenzangu kuna ubishi hapa? Mbuzi kagoma kwenda, yaani baby mama anakuwa amepiga magoti huku amejibinua kidogo alooo 😋😋😋 Utamu wa hii style mwanamke awe na nyama laini (steki) vimbaumbau haiwafai hii.
  2. JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

    Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu Mtangazaji Haji Kibwana wamesema Kauli iliyoniumiza na Kuhisi huenda na Wao sasa wameshakamatika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

    Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe. Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
  4. JamiiForums Tanzania Nawapenda sana wanaume lakini kuna vitu mnatakiwa kuviacha ili niwapende zaidi

    Hivi ni kweli mnakosa 3000 ya kununua mkanda mpaka mfunge na kamba za viatu wengine mnatumia utambi wa jiko la mafuta kufunga suruhali zenu kweli vijana wangu mnakosa kabisa 3000 kununua mkanda? Nunu mkanda wako vizuri funga kwenye nguo yako vizuri kama unachomekea shusha kidogo tu pendeza...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

    Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu. Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo. Pole sana baba.Najua hicho sicho...
  6. JamiiForums Tanzania Uchache wa wanaume halisi, unasababisha wadada kugombania mahusiano.

    Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia. Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote niliyoweza kuyaona katika hii dunia. Katika kuangaza angaza macho, ndipo nilipoweza kumuona mrembo mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania TUONGEE KIUME: Neno mwanamume linavyotuumiza wanaume

    Ulipokuwa mtoto, ukiumia, ukaanza kulia, kama utabahatika kuambiwa pole basi neno litakalofuata litakuwa ni “Nyamaza, wanaume hawalii.” Labda waliotulea walikuwa na maana nyingine, lakini iwe kwa kujua au bila kujua na sisi watoto wa kiume tumeelewa kuwa walikuwa wanamaanisha mtoto wa kiume...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye tuvitambi tudogo mna pepo yenu

    Kwanza hamna papara, pia huwa naenjoy kushika katumbo ka mwanaume kakiwa kadogo, pia hamnuki nuki kama wengine. Pia mna mionekano fulani hivi, wooow! Nzuri ni ukimpata sponsor mwenye ka kitambi kadogo ambako akivaa nguo akichomekea nguo inamkaa, weeeee😋 Nyie wengine wenye mavitambi kama...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wabinafsi

    Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho. Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao. Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu...
  10. JamiiForums Tanzania Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha akitoa darasa kwa mabinti na wanawake. Wanaume mnasemaje kuhusu hili!?

    Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁 Sisi ndio wanawake 😅😅 Cc...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?

    Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu? Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
  12. JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

    Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua. Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother? Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers? Hebu tujaribu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupiga vita mapenzi ya jinsia moja inawezekana; wapo wapi wanaume waliokuwa wanajichubua na kulegeza viungo kwenye mitandao na TV?

    Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

    Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga hivi huwa hamna kinyaa? hivi hamkumbuki stori za ngoma, mwanao anapiga kesho...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

    Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA Asante cocastic
  17. JamiiForums Tanzania Asilimia 90% ya wanawake na wanaume wanaoshabikia Simba na Yanga hawajui mpira

    Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu hafahamu. Kuna shabiki mmoja Simba tumebishana sana hajui kama Azam ashawahi kuwa bingwa wa ligi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni ubabe kwenye kupima afya zenu

    Bado baadhi ya wanaume wanashindwa kupima afya zao wakitegemea majibu kutoka kwa wenza wao. Hali hii imekuwa ikiwaumiza wanawake wengi hasa wanawake wajawazito bila ya kujua wafanye nini Ili kuwafanya wenzao wao wawe na muamko wa kupima afya zao. "Nilipomuambia mume wangu inahitajika mimi na...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Transfoma za Wanaume Mlima Kenya zimezima kwa sababu ya pombe

    Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa Mlima Kenya wamekuwa mateka wa pombe, hasa ile haramu. Alisema athari za pombe zimewalemea kiasi cha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…