Salaam wakuu!
Mimi kama mwanaume natoa haya....
Wanaume wa siku hizi baadhi yao ni kwamba tunafail sana yaani, Ona hizi kero.
Wanaume wengi ndani ya ndoa hawatoi mahitaji, wanaachia wakina mama kila kitu afu wanataka wasikilizwe hilo haliwezekani.
Mwanaume ukiombwa pesa na mwanamke unavunga...
Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro.
kuchapiwa kwa sisi wanaume huwa kunaanza na hatua zifuatazo.
Miaka miwili ya wanandoa kuwa pamoja, huwa ni yenye furaha sana...
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.
Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume.
Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume.
mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
Yaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje
Kwa sababu Mimi ukinambia game kesho duu napotezaga network hata kazini akili haikai vzr nikifikiria huo mchezo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata watuhumiwa 44 kati yao Wanaume ni 41 na Wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, utapeli, wizi wa mifugo na kupatikana na dawa za kulevya na pombe haramu ya Moshi 'Gongo'.
Kamanda wa Jeshi...
Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia.
Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...
Kuamini kuwa na mwanamke anavutiwa sana na mwonekano tu
Kwa sisi wanaume tunavutiwa na mvuto zaidi, lakini mwanamke anavutiwa nawe kutokana na vile anavyojisikia akiwa nawe. Akijisikia amani, usalama kujiachia kwako basi unampata/ kumtunza kirahisi.
Lakini usipomfanya mwanamke ajisikie usalama...
Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo!
Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe.
Au wewe...
Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!
Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna...
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.
Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light.
Acheni kunywa pombe za wadada bana
"Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda...
Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza...
Kaka mmoja akanifata Inbox yangu Kule Instagram na kiukweli nilivyomuona alikuwa kijana shababi, alikuwa na six pack(kama mziitavyo), alikuwa mrefu mweusi.
Aliponitumia picha zake nikaziona kiukweli nilipagawa, wakati huo Ni kipindi ambacho nilikuwa napitia mambo mengi sana ya kimahusiano...
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.
Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.