wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume Manesi(wauguzi) wapo?

    Leo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?
  2. Okrap

    JamiiForums Tanzania Wanaume mbarikiwe sana

    Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
  3. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

    Salaam Wakuu, your the weapons against the kingdom of darkness. Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DC Mtatiro ataka Sheria itungwe kuwakamata Wanaume ambao wenza wao watachelewa kwenda Kliniki

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Wakili Julius Mtatiro, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo, kukamilisha haraka utaratibu wa kutunga sheria ndogo itakayohusisha kuwakamata na kuwatoza faini, wanaume ambao wake zao, wenye ujauzito watachelewa kufika kwenye vituo vya Afya kuanza kliniki. Chanzo: ITV
  5. Mtuache

    JamiiForums Tanzania Mungu ibariki Tanzania, Mungu atubariki wanaume

    Usiku wa manane barabarani wamelala wima lakini mikono inataka shilling na mili yao ipo tayari kwa ajili ya kazi, si imeendikwa Mwanaume atakula kwa jasho? Sasa wanafanya kutimiza maandiko. Usiku mwingi watambeba abiria wasio wajua na wakati mwingine kuwapeleka waasipopajua, pikipiki juu ya...
  6. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

    Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa. Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa. Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka kwa mwanamke. Kosa hilo ni: Kumtafsiri mwanamke kwa maneno yake zaidi ya vitendo vyake. Kumsikiliza...
  7. Okrap

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 ambayo wanaume mnaweza kujifunza kutoka kwa wanawake.

    Wanaume mnaweza kujifunza kutoka kwetu wanawake. Tuna mengi ya kuwashirikisha mjifunze kutoka kwetu wanawake, kwa leo nitawapa mambo matano tu... 1. Wape kipaumbele watu wako Wanaume wengi ni wabinafsi kwa asili na ni wachoyo wenye roho mbaya. Bali wanawake wengi huweka maslahi ya familia...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe: Nashangazwa na wanaume wanaojiua kisa mapenzi wakati sensa inaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe amesema anashangazwa na Wanaume wanaojiua kwasababu ya mapenzi wakati Sensa inaonesha kuwa Wanawake wako wengi nchini kuliko Wanaume hivyo wanaweza kuoa zaidi ya Mke mmoja. DC Mahawe amesema hayo leo Jumatatu Mei 8, 2023 wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Hii imenishangaza

    Nimesikiliza kipindi cha malumbano ya hoja Radio one, Alhamisi hii, naskia mtu anajitambulisha kama somebody Msafiri Mwajuma Mariam. Ama like waaaaaaat! Niko sebuleni na dogo naye anashangaa, nkaelewa frustration aliyonayo kwenye kichwa chake. Anyway labda aliamua kutumia jina hilo kutokana na...
  10. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanaume wa Pwani hawapendi ugali?

    Nimenotice kwamba watu wa Pwani hata wanaume wa kande zote za Pwani kuanzia Tanga, Pwani yenyewe na Dar, Lindi, Mtwara na Zenj hawapendi Ugali sana wao ni wali sana sana tofauti na watu au wanaume wa sehemu zingine? Je ni kweli au generalization tu yangu?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi bado kuna wanaume wakiombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza wanatoa?

    Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na...
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Jamani kwanini wanaume mko hivi

    Jamani kwanini wanaume hamtulii mnakosa Nini?? Lazima uwe na mweusi ,mweupe , mwarabu ,mhindi, yaaniwafrika hadi keroo . Mnachoshagaza serious , ni baada ya jirani yetu mkewe kasafiri na bado ameenda kuleta wadada wawili humo ndani Sasa mnakwama wapi?? Yaani unamsikia kabisa anakula nao good...
  13. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Mitindo ya uchezaji na Uanaume

    Wanaume, Sherehe ni jambo lililowekwa na wanadamu ili waweze kufurahia mafanikio yao na wengine hufanya sherehe wakati wa kuomba Dua kwa miungu yao. Vilevile Sherehe ilikuwa ni swala ambalo hufanyika kuonyesha Mwanzo au Mwisho wa Maisha fulani au hatua fulani katika Maisha. Mfano; Kuzaliwa kwa...
  14. Okrap

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa nigeria wanavitu special

    Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi wanakitu fulani ambacho nyuma ya panzia sikijui jamani nijuzeni kwanini kwenye sita kwa sita hawachoki...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tarime, hii ni tabia ya kipumbavu na kidhaifu sana. Badilikeni

    Nilienda zangu klabu moja maarufu Tarime mjini pale, nikakutana na tabia ya ajabu sana kutoka kwa wanaume wa maeneo yale. Ishu ilikua hivi, baada ya kuwa nimepoa zangu muda mrefu naskiliza tu mdundo kidogo kidogo, akanifata mwana mmoja ivi, pigo za kisharobaro kibaao. Kisha akaanza kuniambia...
  17. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

    Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata... Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mbuzi kagoma kwenda ndio mtindo pendwa zaidi kwa wanaume kunako sita kwa sita

    Wanaume wenzangu kuna ubishi hapa? Mbuzi kagoma kwenda, yaani baby mama anakuwa amepiga magoti huku amejibinua kidogo alooo 😋😋😋 Utamu wa hii style mwanamke awe na nyama laini (steki) vimbaumbau haiwafai hii.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

    Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu Mtangazaji Haji Kibwana wamesema Kauli iliyoniumiza na Kuhisi huenda na Wao sasa wameshakamatika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

    Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe. Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
Back
Top Bottom