wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. system hacker

    JamiiForums Tanzania Majaliwa anastahili kuwa kiongozi mkubwa. Ana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi

    Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia. Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in...
  2. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Kigoma waikataa CHADEMA, wananchi wengi kususia mkutano

    Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea. Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanavyonufaika na uwindaji wa kitalii

    Uwindaji wa Kitalii Wanufaisha Nchi, Billioni 9.6 zatolewa Kwa Halmashauri na Vijiji Pembezoni mwa Mapori ya Akiba na Mapori Tengefu - Kamishna Mabula Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mabula Misungwi Nyanda amesema shughuli za Uwindaji wa Kitalii...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

    Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm. Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
  5. Kabinti ka ludilo

    JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  6. polokwane

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nikuombe sikiliza vilio vya wananchi wewe mwenyewe, usilishwe maneno kwamba ni harakati za pro Magufuli. Unachonganishwa

    Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli. Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio kwa makusudi kabisa kwa kudhani wanawakomoa hao wanao dhani ni wafuasi wa Magufuli. Mh.Rais...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mliopo Karimjee, yatafakarini matendo katika kuwatumikia wananchi mkiendelea kumuaga Bernard Membe

    Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe. Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama mliopewa dhamana ya kulitumikia taifa letu, kulitazama jeneza la aliyekuwa kiongozi kama ninyi mlivyo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

    Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma. UJUMBE HUU HAPA: Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua. Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kiteto - Taarifa Maalum kwa Wananchi Kuhusu Miradi ya Huduma za Mawasiliano

    JIMBO LA KITETO - TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU MIRADI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto natambua kuwa wakati natafuta kura tulipata changamoto nyingi sana za huduma ya mawasiliano ya simu katika Vijiji zaidi ya 30 ambavyo mitandao ya simu ni...
  11. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Simba wamekuwa wazururaji wengine wanakamatwa, Wananchi tuwe makini

    Napenda kutumia nafasi hii kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kwani Simba wamekuwa wazururaji tena hawana lengo wala shughuli yoyote ya maana wanayofanya mjini na wakati mwingine wanaweza kuwadhuru bila sababu yoyote. Simba hao wenye hasira kali ambayo haijafahamika chanzo chake wamekuwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kinachofanya watumishi wa Serikali Tarime/Rorya kuuwa na wananchi ni hiki hapa.

    Angalia kwa umakini
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua

    Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Dkt. Rashid ChuaChua amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepeleka Shilingi Milioni 446 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Maji wa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa TRA unatuumiza wananchi

    Jana niliishiwana umeme nyumbani kwangu. Kila nikijaribu kununua kwa simu kama nilivyosmzoea ilishindikana. Leo nikaamua kwenda TANESCO kuulizia tatizo ni nini. Baada ya kuwapa namba ya mita yangu nikaambiwa kuwa sababu nyumba ni ya ghorofa natakiwa kulipia elfu tano kwa kila floor na deni...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

    Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga mbele tena kombe la shirikisho Africa msimu huu. Japo Mallumo Galants wanasuasua kwenye ligi yao ila ubora wa mbinu na ushindani wa ligi wa South Africa utawabeba. Mechi ya kwanza kwa Mkapa italeta hofu kubwa kwa Wanayanga. Natabiri...
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Tembo wanaharibu mazao ya wananchi wa Kijiji Kilosa Mpepo na hakuna msaada

    Sisi wakazi wa Kijiji Kilosa Mpepo, Tarafa ya Ngilangwa, Wilaya Malinyi Mkoa Morogoro tunachangamoto tunaomba msaada wa Serikali. Serikali itusaidie kuhusu Tembo wanatumalizia mazao, kwa usiku mmoja wanaweza kula hekari zaidi ya 15, tumehangaika hadi ofisi za Wilayani, TANAPA wamekuja kama...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wawe wanachaguliwa Wabunge wenye akili. Kuna Wabunge ukiwasikiliza unapata picha wananchi wao wakoje

    Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe. Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
  19. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajir: Askari Wanyamapori waua raia wawili kwa risasi, wananchi walipuka

    Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir. Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni. Mauaji hayo...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wawatawanya wananchi waliotaka kuchota mafuta baada ya ajali ya lori

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limefanikiwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuchota mafuta, baada ya lori lenye namba za usajili T 810 AJL lililobeba mafuta aina ya dizeli kuacha njia na kuingia mtaroni kisha mafuta hayo kuanza kumwagika, katika eneo la Msimba lililopo wilayani Kilosa...
Back
Top Bottom