wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Musoma Vijijini Wananchi Waendelea Kutatua Matatizo ya Elimu Vijijini Mwao

    JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WANANCHI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YA ELIMU VIJIJINI MWAO Wananchi ndani ya Vijiji 68 vya Musoma Vijijini wamekua na mwamuko mkubwa sana kushirikiana na Serikali, na Wadau ya Maendeleo, kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili vijijini mwao. Baadhi ya matatizo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CCM yajifunza kusukuma maendeleo makubwa kwa wananchi kutoka China

    TAARIFA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU SOPHIA MJEMA KUHUSU ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema leo Ijumaa Aprili 28, 2023 kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnes Marwa: Wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe fidia ya ardhi yao

    MHE. AGNES MARWA AISHAURI WIZARA YA MADINI, WANANCHI WALIPWE FIDIA ZAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amechangia bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akisisitiza sana wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kutokufanya kazi kwa mfumo wa kuripoti wizi, kunafanya raia wengi wapoteze fedha

    Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500. Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kushinikiza Law School wafaulishe 'sub-standard advocates', njooni saiti muone wanasheria wasioiva wanavyotia hasara

    Tunapambana sana ili law school iruhusu "chakula ambacho hakijaiva" kiingie meza ya chakula. Jibu liko wazi, walaji wataharisha, wataumwa matumbo. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu mikataba ya hovyo inayosainiwa baada ya kupitishwa (vetted) na wanasheria. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu kushindwa...
  6. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi

    Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi kwa kuwapora mali zao. Jeshi la polisi tunaomba mkafanye kazi yenu Vingunguti.
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga kurejea barabarani Mei 2

    Hizi ni jamhuri mbili tofauti: Odinga katangaza kurejea barabarani. Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2? Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanroads! Barabara zenu Dar es Salaam ni mbovu kupindukia. Tuambieni sisi wananchi mna mipango gani na sisi?

    Hali ni mbaya sana tena sana. Sehemu ya dakika 5 sasa hivi tunatembea nusu saa. Shida kubwa ikiwa hasa jimbo la kibamba. Mpaka daladala wameondoa mabadi yao kwa sababu ya ubovu wa barabara. Mfano mzuri ni hii barabara ya Mbezi High School kwenda Mpigi magoe. Hii siyo barabara ni handaki kabisa.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Crowd funding: Wakurugenzi wa Kamono Farms wakamatwa kwa kujipatia fedha za wananchi isivyo halali.

    Hii ni kama utapeli wa Jatu au Mr Kuku ila imetokea nchi jirani ya Zambia. Wakurugenzi watatu wa Kamono Farms wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa makosa ya kujipatia pesa kilaghai kutoka kwa wananchi kwa kuwashawishi wawekeze fedha zao kwenye kilimo kwa ahdi ya kupata faida kubwa sana kitu...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee. Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya...
  13. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni wananchi wanakotoka viongozi

    Baada ya kusoma chapisho hili... Na lile la Abbas Tarimba kutaka ongezeko bei ya mafuta, Naomba niseme mapema... Kama nchi Bado tuna safari ndefu sana! Haya ni matokeo tu! Tatizo kubwa lipo na linaanzia kwa wananchi hadi kwenye mifumo ya uchaguzi! Uchaguzi wa ovyo ovyo tunaishia kupata viongozi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

    SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Majimbo 214 kuchota bilioni 15.9 kuchochea maendeleo ya wananchi jimboni mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi Bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala...
  17. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Uozo kila mahali hakuna penye afadhali, tunaoumia ni sisi Wananchi

    Habari zenu wana JamiiForums, Kwa kweli nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa habari mbalimbali hasa zinazohusu taifa letu la Tanzania kwa kweli tuna safari ndefu sana mpaka kufikia kile tunachokiita maendeleo na sisi kama wananchi inabidi tuamke kwa kweli. Uozo kila mahari hakuna penye afadhali...
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wananchi waokolewe toka kwa wakoloni weusi

    Wakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
  19. Eraldius

    JamiiForums Tanzania Mnawaletea wananchi maji kwakuwa Makamu wa Rais yupo Mwanza, siku zote mnayapeleka wapi?

    Wasalaam wanajamvi. Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi. Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Wananchi Tunajipa Matumaini Hewa

    Ukweli ni kwamba tunasubiria embe chini ya mkaratusi. Tunaushangaa wizi na ubadhirifu wa pesa ya umma ulioibuliwa na CAG, kwani sisi tulikuwa na mategemeo gani? Hivi mwizi anaweza kuacha asili yake? Mwizi wa shati hawezi kuacha kuiba suruali ikikaa kwenye mapito yake. Wala mwizi wa maboga...
Back
Top Bottom