wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Bandari zetu

    Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

    Ndugu zangu watanzania, Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio mboni ya Taifa letu kiuchumi,ndio Uti wa mgongo wa mapato yetu,ndio usalama wetu wa Taifa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kaeni neutral kipindi cha uchaguzi ili wananchi wachague viongozi wao kwa uwazi na uhuru 2025 ili haya ya bandari yasitokee

    Kumekuwa na matukio mengi yanatokea kipindi cha hivi sasa. Mara punde taarifa ya kuhusu Bandari na DP world nk. Wananchi wamekuwa wanajilaumu kuwa japo uchaguzi ungekuwa wa haki basi wabunge wa upinzani wangekuwa bungeni na wangepambana na mambo haya yanayoendelea nchini kwetu. Lakini hivi...
  4. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na muamko wa Wananchi kuhoji

    Nafurahishwa sana na namna watanzania Wana hoji juu ya rasilimali zao hii ni ishara kubwa sana "Political culture "ya Tanzania sasa inahama kutoka Subject political Culture kutokana na tafiti ya mwisho iliyofanywa na REDET (UDSM) Tanzania's Political Culture: A Baseline Survey ya 2000. Ni wazi...
  5. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo ya Kweli: Kuhusisha na Kuwezesha Wananchi

    MAENDELEO YA KWELI: KUHUSISHA NA KUWEZESHA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Maendeleo ya kweli ni mchakato unaohitaji ushiriki wa wananchi wote. Ili kufikia maendeleo haya, ni muhimu kuhusisha na kuwezesha wananchi ili waweze kuchangia katika maendeleo ya jamii zao. Katika makala hii, tutajadili...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Huenda Wananchi wengi wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake

    Wananchi wengi watakuwa wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuuziwa na wauzaji wa maduka madomadogo maarufu kama maduka ya mangi na waha. Wauzaji wa bidhaa hizo aidha hawafatilii muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa zao ili wazitoe dukani au wengine hujua na kufanya kusudi kuwauzia watu...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Picha ya Mbunge wa Ngara Wananchi Wakana Kulazimishwa

    SAKATA LA PICHA YA MBUNGE WA NGARA WANANCHI WAKANA KULAZIMISHWA Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamekanusha kulazimishwa kuweka picha ya Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ndaisaba Gerge Ruholo kwenye maeneo yao kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Rorya watakiwa kushiriki shughuli za maendeleo baada ya Rais Samia kutoa Tsh Milioni 540

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa. Juma Chikoka, DC Rorya amesema...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bunge mnataka Wananchi watoe Maoni kuhusu Bandari kwa Mkataba upi? Kwanini unakuwa siri?

    Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono. Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aibuka. Aililia tembo kuvamia Mashamba ya Wananchi wa Kilosa

    Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu wananchi hao hawajalipwa kifuta machozi kutokana na uharibifu huo. Pia, ameomba Wizara ya Maliasili...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kiini cha utawala bora ni kuhakikisha kwamba wananchi wana sauti katika maamuzi yanayowaathiri katika maisha yao ya kila siku

    Imeandikwa na: Mwl.RCT Utawala bora ni mchakato muhimu katika kusimamia na kuongoza jamii kwa njia inayoheshimu na kuzingatia haki na maslahi ya watu wote. Hata hivyo, katika nchi nyingi za Afrika, utawala bora bado ni changamoto kubwa. Kuna ukosefu wa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi

    January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya mafuta kiasi cha shilingi Bilioni 100 kwa mwezi ili kutoa ahueni kwa wananchi kwenye bei ya mafuta na...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hamida: Wananchi wapate afueni bei ya gesi

    Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdallah amemuomba Waziri wa NIshati, January Makamba na Serikali kwa ujumla kushusha kodi zilizopo kwenye vifaa na gesi ya matumizi ya kupikia majumbani ili wananchi waweze kupata unafuu wa kununua gesi na kuondokana na matumizi ya nishati inayo angamiza mazingira...
  15. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ndiye mtu pekee ambaye hakuweza kuvumilia mateso ya wananchi yanayosababishwa na upigaji

    DC Mstaafu Simon Odunga anaandika Endelea kutabasamu CHUMA, mpaka sasa bado hakuna wa kulinganisha na wewe. Najua hayupo aliyekamilika 100% lakini najua hata miaka 50 ijayo bado itakuwa vigumu kumpata Rais wa watu kama wewe. Ulijitoa Mhanga kwa ajili ya Taifa hili, "Legacy" yako itaishi hata...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Condester Sichalwe: Elimu ya Diplomasia ya Uchumi Itolewe Kwenye Mabaraza ya Madiwani ili Iwafikie Wananchi

    MHE. CONDESTER SICHALWE - ELIMU YA DIPLOMASIA YA UCHUMI ITOLEWE KWENYE MABARAZA YA MADIWANI ILI IWAFIKIE WANANCHI "Diplomasia ya Uchumi ni kipaumbele cha Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Bajeti iliyopita nilichangia kuhusu vikwazo vya wafanyabiashara wanaoliendea soko la...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Serikali na Asasi za Kiraia kuongeza Ufahamu na Uelewa wa Wananchi kuhusu Sheria zinazohusu Usalama wa Kidigitali

    Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea. Kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi wana Imani na sanduku la Kura. Maneno ya Lissu ni 'blaablaa' na hofu ya kushindwa anatafuta 'exit plan' tu

    Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda. Anayesema haya atambue kwamba: Siku ya kupiga kura 2020 niliona misululu mirefu sana ya watu wakisubiri zamu zao kupiga...
Back
Top Bottom