This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka
Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi. Kwa mwendo huu, yajayo ya Rivers United yatafurahisha
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini hundi zilizochacha zenye thamani ya Sh352.12 milioni zilitolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kwa waathirika wa miradi miwili mkoani Dodoma.
Hali kadhalika, CAG alibaini kuchelewa kulipa fidia...
Hoja saba (7) za Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Manka Semu kufuatia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Mapitio ya kazi na mwelekeo wa Serikali na makadirio ya matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/2024.
Utangulizi
Juzi Jumatano tarehe 05 April 2023 Waziri Mkuu aliwasilisha...
Mwigulu huyu huyu juzi bungeni amesema mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa ni takwa la wafadhili ili tupate mikopo ya MCC na tayari tutaanza kupokea mikopo hiyo...wakati watanzania wote walijua mikutano ya hadhara ni zao la utawala wa Rais na wapinzani kupitia maridhiano.
Mwigulu huyu huyu tena...
Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku.
Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania wenzangu ukiwepo na wewe raisi wetu na Mtanzania namba moja, "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?" (Kazi...
Kichwa cha habari cha jitosheleza.
Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
Waitara akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Tarime ameonekana akizungumza kwa jazba huku akiwaeleza Wanachi mambo mbalimbali. Akiwa katika mkutano huo Waitara alisema:
"Muda wa kubembelezana sasa umeisha, siku ile mliniona nalia nilikuwa natoa sumu. Siku ile ningekuwa hapa leo tungekuwa...
Salaam,
Nimefuatilia hotuba nyingi za kiongozi mkuu Nchi mara nyingi analalamika sana kuhusu watu walio chini yake lakini hachukui hatua madhubuti yeye ni kulalamika tu sijui shida ni nini?
Najiuliza maswali mengi sana.
1. Yawezekana hana mamlaka kamili au kuna watu wana power kumzidi.
2...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kusogeza huduma zake za kibingwa kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, ambapo wagonjwa 150 wamehudumiwa katika Hospitali ya Epiphany Mbagala iliyotolewa Machi 31, 2023.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Anthony Assey amesema...
Ushirikishwaji wa wananchi ni mchakato wa kuwahusisha na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi ya serikali na mipango ya maendeleo. Hapa kuna baadhi ya faida za ushirikishwaji wa wananchi:
1. Kuimarisha Utawala wa Kidemokrasia
Uhusishwaji wa wananchi unaimarisha utawala wa...
MBUNGE MHE. TIMOTHEO MNZAVA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA KOROGWE VIJIJINI
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo Mnzava ameendelea na ziara yake ya kimkakati katika jimbo lake huku akijikita katika kuzungumza na...
Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na kumalizwa sirini. Yale ya hadharani ni ya kusakia 'support' kwa wananchi. Wananchi wasikie na...
Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi.
Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji.
Tazama video hapo chini, inaonesha matumizi makubwa ya nguvu na vifaa vya kijeshi pia Kuna Waandishi...
Kufuatia maandamano ya baadhi ya wananchi wa Kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba Wilayani ya Ubungo jijini Dar es Salaam katika eneo la Mbezi Kibanda cha Mkaa, wakiishinikiza serikali kuwajengea kivuko chenye usalama zaidi katika eneo hilo, kutokana na ajali za mara kwa mara, Mkuu wa Wilaya ya...
Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi.
Chanzo cha tukio hili ni mwendesha boda boda aliuziwa betri ya gari kumbe ilikua ya wizi...
Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu?
Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.