Kigoma waikataa CHADEMA, wananchi wengi kususia mkutano

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,142
27,159
Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea.

Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi wameonyesha kuwa busy na shughuli za kiuchumi.

Wapo wananchi wengi ambao wamesema hawatahudhuria kabisa huo mkutano. Hili ni pigo kwa chadema kwa kuwa walitegemea kuungwa mkono Ila matokeo yake wananchi wamewakataa.

Hali ikiendelea hivi kuna hati hati ya mkutano kuhairishwa, mkutano ni watu. Sidhani kama.chadema wanaweza kukubali kufanya mkutano kwa watu kiduchu.

Nitawajuza kila kinachoendelea na picha na video nitawaletea, maana kumekua na tabia ya kutumia picha za 2015 za lowassa.
 
Upo sahihi, nimeongea na wazee wa hapo mwandiga wamenifahamisha ukweli huo huo.
 
CHADEMA ni wabaguzi. Hawana ajenda. Yaani sio tu ni wafilisi, bali wamefilisika Kisiasa.

Wanaenda huko kuonyesha Helicopter waliyonunuliwa na CCM. Zaidi ya hapo ni yule "Kivutio" wao WanaCHADEMA kwenda kumtembeza mtu aliyepigwa shaba 16,au 32, au 38 ikitegemea wapi wanayasema hayo.

Utuletee taarifa kamili wasije wakatuhadaa na picha zao za Akili bandia
 
Pole kwa maumivu makali. CDM ni kama maji,usipoyaoga utayanywa.
CHADEMA ni wabaguzi. Hawana ajenda. Yaani sio tu ni wafilisi, bali wamefilisika Kisiasa.

Wanaenda huko kuonyesha Helicopter waliyonunuliwa na CCM. Zaidi ya hapo ni yule "Kivutio" wao WanaCHADEMA kwenda kumtembeza mtu aliyepigwa shaba 16,au 32, au 38 ikitegemea wapi wanayasema hayo.

Utuletee taarifa kamili wasije wakatuhadaa na picha zao za Akili bandia
 
Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea...
Mimi niko hapa gungu wewe uko viunga gani bwashee?mbona unawadanganya watu wakati mimi niko laivu hapa mjini.tusiwapotoshe wanajf humu ndani.njoo nipo mashariki tu hapo nawafuatilia.
 
CHADEMA ni wabaguzi. Hawana ajenda. Yaani sio tu ni wafilisi, bali wamefilisika Kisiasa.

Wanaenda huko kuonyesha Helicopter waliyonunuliwa na CCM. Zaidi ya hapo ni yule "Kivutio" wao WanaCHADEMA kwenda kumtembeza mtu aliyepigwa shaba 16,au 32, au 38 ikitegemea wapi wanayasema hayo.

Utuletee taarifa kamili wasije wakatuhadaa na picha zao za Akili bandia.
Pole kwa kufilisiwa na CHADEMA.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom