Nani mwenye jukumu la kudhibiti ubora wa mitihani kabla haijawafikia watahiniwa?

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,793
33,164
Naomba wadau msome hii paper mwanzo mpaka mwisho na kisha mtoe maoni kwa wahusika.

20191108_091130-1.jpg
20191108_091150-1.jpg
20191108_091212-1.jpg
20191108_091232-1.jpg
 
Wewe umewashauri nini? Na unataka ushauri upi mpewe! kama mtihani umekidhi viwango au mdhibiti wake?
 
Naomba wadau msome hii paper mwanzo mpaka mwisho na kisha mtoe maoni kwa wahusika.

Mwenye jukumu la Kudhibiti ubora wa mitihani ni mamlaka inayosimamia Elimu katika ngazi hiyo.
Mock ni Jaribio la kuwapima Uekewa, watahiniwa kabla ya mtihani wa Taifa.
Mtihani wa Mock huakisi mtihani wa Taifa, katika muundo na maudhui.
Linganisha mtihani huo na Muundo wa Mtihani wa Taifa wa Darasa hilo kisha uzishauri mamlaka husika kupitia kwa mkuu wako wa shule
 
Back
Top Bottom