Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu.
Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020
Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
Kuna taarifa kuwa chuo kinawatoza wanafunzi 10,000 Tsh kuwatengenezera control number wakati wnataka kwenda benkikulipa ada.
Kibaya ni kuwa hawatoi hata risiti kwa malipo ya kupata control number.
Tafadhali lifanyie kazi kama sheria ya kodi inasema hivyo kuwa kupata control number unalipia
Shule nne za msingi zilizopo katika kata ya Muhoro, wilayani Rufi ji, mkoa wa Pwani zimefugwa baada ya kuzingirwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
Shule zilizofungwa ni hizo Nyambapu, Muhoro, Kingongo na Kipoka na jumla ya...
Bak ya Dunia inatarajia kuidhinisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola za kimarekani millioni mia tano ($500M) sawa na pesa za kitanzania Trillion 1.3 ambao ulisitishwa hapo mwezi January 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kuingilia kati.
Hayo yamejiri baada ya serikali ya Tanzania kwenda...
Wanafunzi 184 kati ya 2,091 wa Shule za Msingi na sekondari mkoani Pwani wamekatisha masomo kutokana na kupata mimba kwa mwaka 2019.
Kati yao waliopata ujauzito, wa shule za msingi ni 40 na 144 wa sekondari huku wanafunzi 1,907 wakishindwa kuendelea na masomo kutokana na utoro.
Kutokana na baa...
Hii idadi siyo ndogo kuna haja ya jamii kuamshwa ili kutambua mchango wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kuangalia mrejesho wa elimu kwa mtu binafsi na kwa jamii yake "private rate of return and socia returns"..
Elimu pia ina faida msambazo kwa jamii "spill over benefits".Kuna haja elimu ya...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu.
Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani.
Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mjamzito na kuhitaji shuke impe mahitaji yake yote kama mama mjamzito ikiwemo...
Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa.
Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto.
Maendeleo hayana vyama!
Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, ameeleza kuwa mkoa wa Dar una upungufu wa Madarasa 381 huku Temeke pekee kukiwa na Upungufu wa Madarasa 120 kwani watoto waliofaulu kuingia kidato cha kwanza kwa Mwaka 2020 wapo 5,970 kwa Wilaya ya Temeke pekee. Vilevile tunajenga Shule Mpya nne kwaajili ya...
Wanabodi za asubuhi
Nimepitapita kwenye shule za sekondari za Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora na kushudia Wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa chini sakafuni hali inayotia simanzi sana kwa vijana hawa wadogo wanaoanza safari ya masomo!
Utafiti wangu nimeufanya kwa shule...
MKOA wa Rukwa wanafanya mpango wa wanafunzi kupiga kura za siri ili kuwabaini walimu ‘wakware’ linatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo kwa kile alichodai kuongezeka kwa walimu wa kiume katika shule za msingi na sekondari...
Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Mkulima wamefariki dunia baada ya radi kupiga kwenye chumba cha darasa walichokuwa wanatumia.
Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakuru nchini Kenya siku ya Ijumaa jioni wakati wa kipindi cha michezo Shuleni hapo.
Mbali na vifo vya watatu hao umedaiwa kuwa...
Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten...
Namaanisha mwanafunzi mwenye division one kutoka shule ya kata ni hazina ya taifa kama ataendelezwa kikamilifu.
Hii ni kwa sababu anaweza kutumia mazingira magumu kama changamoto na changamoto hiyo anaitatua kikamilifu na kwa usahihi sana hivyo IQ yake ni kubwa mno tofauti na wa mazingira...
Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali.
Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Mb) amesema ni marufuku mwanafunzi kuzuiliwa kuandikishwa darasa la kwanza kwa sababu ya kukosa cheti cha kuzaliwa.
Jafo ameyasema hayo wakati wa ziara yake Wilayani Bahi kukagua uandikishaji wa wanafunzi wa...
Habari za kutwa wanajamvi,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.
Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.