wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi na watafiti kutoka China wanaosoma Marekani wazuiwa kukaganya Marekani

    Marekakani imekua ikiwatuhumu wanafunzi na watafiti kutoka china kwa wizi wa nyaraka za siri za kiutafiti kutoka kwenye vyuo wanavyosoma na kuzipeleka China. Juzi juzi hapa ilikamata watafiti kadhaa kwa kutorosha sampuli za virusi kwenda China. Marekani imekua ikiituhumu China kutumia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Shule na Vyuo vinapaswa kuzingatia ili kuwalinda Wanafunzi dhidi ya maambukizi ya #COVID19

    UTANGULIZI Baada ya Serikali kutangaza kuwa wanafunzi wa Kidato cha Sita watapaswa kurudi shule ili wakajiandae na mitihani yao ya mwisho inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni kuanzia Juni 29 mpaka Julai 19, nimeona kuja na mawazo ambayo yatatoa mwongozo kwa namna wanafunzi, walimu na...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mashuleni wanafunzi madarasani watakaaje na msongamano huwa ni mkubwa?

    Huu muongozo haulezi wanafunzi watakaaje madarasani na kawaida wanafunzi kubanana ndani ya darasa moja ni hatua gani itachukuliwa kuwalinda wanafunzi hasa upande wa social distance?
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa dharura: Vyuo viondoe requirement ya uhudhuriaji darasani kwa wanafunzi

    Kwanza napenda kuishukuru serikali kwa kusikiliza ushauri niliowahi kutoa katika Uzi wangu mmoja wiki kadhaa zilizopita kuhusiana na kufungua taasisi za elimu ila kwa tahadhari. Leo kuna jambo ambalo nadhani linaweza kuwa bado lilikuwa overlooked ila likiangaliwa linaweza kusaidia kuongeza...
  5. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Majina ya wanafunzi wa vyuo na kidato cha sita watakaoripoti yafikishwe ofisini kwangu tarehe 2/6/2020 saa 4 asubuhi

    Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amewataka wakuu wa vyuo na wale wa High schools kuhakikisha wanawasajili wanafunzi wote watakaoripoti vyuoni/shuleni tarehe 1/6/2020 kumpelekea orodha zao tarehe 2/6/2020 kabla ya saa 4 asubuhi. Ole sabaya amesema wanafunzi watakaoripoti baada ya muda huo...
  6. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa pingeni na pigeni marufuku ufundishwaji wa wanafunzi masuala ya uzazi

    Hivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!? Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!? Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni

    Pia, soma Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi - JamiiForums
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere kule Uganda wametengeneza Mabasi yao yanatotumia Umeme.

    Ugandan students at Makerere University have produced their first set of electric buses. Africa Facts Zone on Twitter Je hawa wanafunzi wa vyuo vyetu wanatengeneza nini?
  9. TIPSEU TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuwapa wanafunzi mitihani wakiwa nyumbani

    Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona, ambyo sasa wanafunzi nchi nzima watafanya mitihani kupitia link za mfumo bila kutoa copy,halafu matokeo...
  10. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Sijui hili Dongo ( Shombo ) la huyu Mhadhiri wangu wa ' Political Science ' alikuwa analiekeza Kwangu au labda kwa Wanafunzi wenzangu!

    Kaingia akaanza zake kufundisha kama kawaida ila Mimi siku zote huwa nakuwa simsikilizi kivile kwani naona hata hamu yenyewe ya Kusoma sasa haipo tena na naingia tu Darasani ili nisionekane Mtoro na sina Nidhamu Kwake na mwishowe akaja Kunifelisha bure! Ila wakati akifundisha katikati akaanza...
  11. Liston Cosmas

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa kijamii wa wanafunzi na waalimu

    Habari wana JF. Natumaini nyinyi nyote mnaendelea vyema wakati huu wa janga la COVID-19. Kwa kujitambulisha kwanza, mimi ni kijana Mtanzania na kwasasa ninasomea Shahada ya Uhandisi wa Umeme na kompyuta (Bsc. Electrical and Computer Engineering) nchini Marekani. Hivi majuzi nimemaliza...
  12. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wetu wa hili Somo la 'Current Affairs' sijui anatutakia nini sisi wanafunzi wake na hili swali lake gumu

    Swali: Je, unadhani Ndege yetu ilitakiwa.... a) Kuruka toka Madafu Nation kwenda Fish Island kubeba Shehena inayosubiri Kwanza Majibu ya Maabara? b) Kuruka kupeleka Wataalam wetu WHO wakaungane na wengine katika Kutafuta Chanjo Kamili? c) Kuruka kwenda Kuwachukuwa Wenzetu waliokwama China...
  13. w0rM

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wa St. Joseph (Boko) walalamikia kufelishwa wakidai Chuo kilichukua Wanafunzi wengi kuliko inavyotakiwa ili kujipatia fedha

    Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph Tawi la Boko linalotoa elimu ya Afya, wamedai kufelishwa na Uongozi wa Chuo hicho na kuambiwa hawawezi kurudi Chuoni hapo na kama wanataka kurudi basi warudie mwaka Wanadai walifanya mtihani wa UE wakiwa takriban Wanafunzi 200 lakini Wanafunzi waliopitishwa ni...
  14. BONGOLALA

    JamiiForums Tanzania Wakati RC Mtaka anapambana wanafunzi wasome kupitia mtandao, RC Makonda anapambana na Wabunge

    Ni jambo la kisikitisha sana RC wa Dar es Salaam kutoona umuhimu wa elimu kwa watoto katika kipindi hiki cha mlipuko wa Corona na kudakia mambo ya wabunge yasiyomhusu. RC Mtaka anapambana watoto wasome online kipindi hiki, huku RC DSM anapoteza muda mwingi katika media kwa mambo yasiyo ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona na mustakabali wa ada kwa wanafunzi

    Wakuu kwema? Natumai mko salama katika Janga hili hatari lililotukumba la CORONA. Kabla ya kwenda kwenye mada, ningependa kwanza kutoa uchanganuzi katika suala la gharama Kama nilivyojifunza. "Cost" pamoja migawanyo mingine imegawanyika pia katika makundi mawili ambayo ni "Fixed Costs" na "...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako awananga Wanafunzi wa UDSM kwenye kipindi cha tutashinda Channel 10 leo jumamosi 25/4/2020

    Nimemfuatilia kwa karibu sana mwanzo mwisho na nilichojifunza ana mafundisho mazuri sana ila kuna kosa kubwa amefanya la kutaka Wanafunzi wa UDSM kuwa ni wakosoaji wa Watumishi wa Mungu huku wakiwa hawaelewi chochote kuhusu imani. Anaendelea kusema Utumishi ni taaluma unapaswa kuheshimiwa na...
  17. matokeotz

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Resume yako ya kirahisi hapa!

    Resume/CV Maker | Curriculum Vitae - Apps on Google Play
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

    Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa. Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Katazo: Tuzuie Wanafunzi wenye Sifa Duni Kujiunga na Kozi za Uuguzi

    Uuguzi ni mojawapo ya kazi inayohitaji huruma na uwezo mkubwa wa akili. Kwa bahati mbaya sana, uuguzi Tanzania imekuwa ni sehemu ambayo wanaenda kusoma wahitimu wa masomo ya sekondari wenye ufaulu duni. Tabia hii imewafanya wauguzi wawe ni watandika vitanda, wageuza wagonjwa, wasafisha...
  20. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
Back
Top Bottom