TAKUKURU Mtwara chunguzeni chuo cha kilimo Mtwara(MATI) kulipisha wanafunzi tsh 10,000 ili wapate control number

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
804
1,318
Kuna taarifa kuwa chuo kinawatoza wanafunzi 10,000 Tsh kuwatengenezera control number wakati wnataka kwenda benkikulipa ada.

Kibaya ni kuwa hawatoi hata risiti kwa malipo ya kupata control number.

Tafadhali lifanyie kazi kama sheria ya kodi inasema hivyo kuwa kupata control number unalipia
 
Ele a

Elezea vizuri ueleweke....
1.hii ni mwa continuous students?
2.wanaoomba chuo au vp?
Fafanua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini hukufafanua awali??QUOTE="sacred wall, post: 34674665, member: 448027"]
Nimesema unapolipia ada ya chuo , unaambiwa ulipe elfu kumi upewe control number, both kwa continuing and new students as long as unalipa ada! Kisichoeleweka ni kipi hapo?
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom