Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,542
- 3,451
Hii idadi siyo ndogo kuna haja ya jamii kuamshwa ili kutambua mchango wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kuangalia mrejesho wa elimu kwa mtu binafsi na kwa jamii yake "private rate of return and socia returns"..
Elimu pia ina faida msambazo kwa jamii "spill over benefits".Kuna haja elimu ya Darasani kupelekwa kwa jamii katika lugha inayowakaribia kwenye ulimwengu wao.
Juu ya hili kunahitaji pia wataalamu kujifunza namna ya kuchanganya elimu asilia ya jamii "indigenous knowelege" na utaalamu wao ilibkuifanya jamii kuamini elimu hiyo ni yao na inasadifu utamaduni wao jambo ambalo litainua mwamko jamii na ushiriki.
Mazingira ya jamii na pendeleo zao zinawaza kutumika kama njia za kupitishia maarifa ili kuwasaidia Dada zetu.