Serikali ina mpango gani juu ya kuwaendeleza kipekee wanafunzi wanaoongoza kitaifa?

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,155
2,000
Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten etc.

Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wizara husika kuona umuhimu wa kuwapa motisha vijana hawa na wale wanaoendelea na masomo yao kwa kuwatafutia program nzuri either nje ya nchi au ndani na kuwafuatilia kwa karibu maendeleo yao huenda wakatufaa sana hasa kwa Tanzania hii mpya ya viwanda.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,772
2,000
Hii elimu yeru ya kukariri vita vya majimaji,berlin conference,map reading etc hata div 1 ya point ngapi tegemea baada ya miaka kadhaa utawakuta:

Wakifanyakazi manispaa huku kila mei mosi wakitega masikio kwny redio kusubiri kama mshahara umeongezeka toka TGS D zao.

Watakaoitwa wametoboa kibongo bongo utawakuta wanafanya kazi TRA ya kukadiria kodi wafanyabiashara,wakitoa TIN no./wakizunguka kwny viduka vya wamachinga huku mtaani wakifunga maduka ya.

Wengine utawakuta huko TANROADS wakila michongo na wakandarasi site jioni tukutane baa tukale biereeeeeeee.

Watakaoenda kua madokta utawakuta wako wanalalamika kazi yao ngumu,mshahara wa kawaida,makato HESLB yanaumiza then watajiongeza ku-piga part kwny vi dispensary huku mtaani then mchezo uneisha.

Hujakaa vzr 60 yrs hio hapo,una staafu utumishi ukisubiri mafao yako ambayo yatatoka baada ya kuzungushwa saana kama miaka miwili hivi then unabaki kulea wajukuu mchezo umeisha hapo.

And the list goes on.

Haya ndio matunda ya elimu ya ki-Africa.

dodge
 
M.Rutabo

Senior Member
Apr 8, 2015
145
500
Uwepo presidential Fund ambao utakuwa unawachukua best hundred students on each particular year. Ila huu mfuko udeal na wale wanafunzi miamoja wanaofanya vizuri kwenye shule za serikali maana hao kwangu ndyo miamba kwelikweli.

Then matokeo yanapotoka kila mwaka wanachukua Mia moja waliofanya vizuri wanatafutiwa vyuo nje ya kulingana na demand ya serikali kwenye sector flani then serikali inawalipia hada na accommodation plus posho za matumizi.

Baada ya miaka kumi nchi hii itakuwa na wataalamu wa kutosha kwenye sector mbalimbali.
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,884
2,000
Nje ya mada:
Hivi yule mtoto Anna Dhambi aliyefiwa na wazazi wake pamoja na wadogo zake amepata division ngapi?
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
1,285
2,000
Uwepo presidential Fund ambao utakuwa unawachukua best hundred students on each particular year. Ila huu mfuko udeal na wale wanafunzi miamoja wanaofanya vizuri kwenye shule za serikali maana hao kwangu ndyo miamba kwelikweli.

Then matokeo yanapotoka kila mwaka wanachukua Mia moja waliofanya vizuri wanatafutiwa vyuo nje ya kulingana na demand ya serikali kwenye sector flani then serikali inawalipia hada na accommodation plus posho za matumizi.

Baada ya miaka kumi nchi hii itakuwa na wataalamu wa kutosha kwenye sector mbalimbali.
Moja ya Mawazo bora kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,479
2,000
Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten etc.

Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wizara husika kuona umuhimu wa kuwapa motisha vijana hawa na wale wanaoendelea na masomo yao kwa kuwatafutia program nzuri either nje ya nchi au ndani na kuwafuatilia kwa karibu maendeleo yao huenda wakatufaa sana hasa kwa Tanzania hii mpya ya viwanda.
Hakuna haja yoyote ya kuwaendeleza waliopata A, A, A, A, A,... Wanaopaswa kuendelezwa ni wenye vipaji vya ubunifu. A nyingi ni za kukariri hata kama ni za kweli kigezo cha kupata A siyo guarantee kwamba mtu ana akili ya kipekee.
 
Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
987
1,000
Kuwaendeleza waende wapi, tuwaendeleze wenye uhitaji wa kuendelezwa/kusaidiwa.
Ni sawa na kusema serikali iwaendeleze matajiri, uwezo wanao tayari.

Muwakilishi wa wenye 0 bara.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,614
2,000
Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten etc.

Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wizara husika kuona umuhimu wa kuwapa motisha vijana hawa na wale wanaoendelea na masomo yao kwa kuwatafutia program nzuri either nje ya nchi au ndani na kuwafuatilia kwa karibu maendeleo yao huenda wakatufaa sana hasa kwa Tanzania hii mpya ya viwanda.
Wachina kuelekea 'made in china 2025' waliichokifanya ni kwamba waliweka mashindano ya kuprogramu robots nchi nzima ili kupata watoto wenye uwezo mkubwa ku future AI,hawakutumia mtihani wa wa la7,form4 au six.Atakaeweza kuyaprogramu marobot Huyo ndio atawezesha China 2025.AI teknolojia.Tunatakiwa kufanya skouting kuanzia chekechea sio kidato cha nne tunakuwa tumechelewa.Halafu tunapima mawanda mapana hats Yale nje ya mtaataala kama programming.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,614
2,000
Kuna
Hakuna haja yoyote ya kuwaendeleza waliopata A, A, A, A, A,... Wanaopaswa kuendelezwa ni wenye vipaji vya ubunifu. A nyingi ni za kukariri hata kama ni za kweli kigezo cha kupata A siyo guarantee kwamba mtu ana akili ya kipekee.
kuna.
1.Intelkigent
2.Geneus
Huyo intelligentvanauwezo was kushika haraka hats kujielewesha mwenyewe ola creativity anaweza asiwe nayo.Geneus anasolve problems ambazo hakuna paka mwingine aliethubutu.Mfano Einstein, Steven hawk,Billgate,Steve Job nk.Geneus ni konk.Huyo dogo sijui ni 1 au 2.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom