wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
  2. Vituko ndani ya Marekani, 'Title IX' inaamrisha shule zote ziwe na madawati makubwa kwa ajili ya wanafunzi wajawazito

    'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani. Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mjamzito na kuhitaji shuke impe mahitaji yake yote kama mama mjamzito ikiwemo...
  3. J

    Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
  4. Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania...
  5. Dar: Wanafunzi 19,000 waliojiunga Kidato cha Kwanza, wakosa Madarasa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, ameeleza kuwa mkoa wa Dar una upungufu wa Madarasa 381 huku Temeke pekee kukiwa na Upungufu wa Madarasa 120 kwani watoto waliofaulu kuingia kidato cha kwanza kwa Mwaka 2020 wapo 5,970 kwa Wilaya ya Temeke pekee. Vilevile tunajenga Shule Mpya nne kwaajili ya...
  6. Wanafunzi waliojiunga kidato cha kwanza katika shule za kata za Halmashauri ya Wilaya ya Uyui wanakaa chini (sakafuni), Wadau wa elimu mko wapi?

    Wanabodi za asubuhi Nimepitapita kwenye shule za sekondari za Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora na kushudia Wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa chini sakafuni hali inayotia simanzi sana kwa vijana hawa wadogo wanaoanza safari ya masomo! Utafiti wangu nimeufanya kwa shule...
  7. Wanafunzi kuanza kupiga kura za siri ili kuwataja walimu wenye mahusiano ya kimapenzi ya wanafunzi

    MKOA wa Rukwa wanafanya mpango wa wanafunzi kupiga kura za siri ili kuwabaini walimu ‘wakware’ linatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo kwa kile alichodai kuongezeka kwa walimu wa kiume katika shule za msingi na sekondari...
  8. Radi yaua wanafunzi watatu na kujeruhi wengine 53

    Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Mkulima wamefariki dunia baada ya radi kupiga kwenye chumba cha darasa walichokuwa wanatumia. Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakuru nchini Kenya siku ya Ijumaa jioni wakati wa kipindi cha michezo Shuleni hapo. Mbali na vifo vya watatu hao umedaiwa kuwa...
  9. M

    Serikali ina mpango gani juu ya kuwaendeleza kipekee wanafunzi wanaoongoza kitaifa?

    Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten...
  10. Serikali iwapeleke A Level shule za vipaji maalumu wanafunzi waliopata division one kali kutoka shule za kata kwanza baadae za private

    Namaanisha mwanafunzi mwenye division one kutoka shule ya kata ni hazina ya taifa kama ataendelezwa kikamilifu. Hii ni kwa sababu anaweza kutumia mazingira magumu kama changamoto na changamoto hiyo anaitatua kikamilifu na kwa usahihi sana hivyo IQ yake ni kubwa mno tofauti na wa mazingira...
  11. J

    Mwita Waitara adai elimu bure maana yake ni wanafunzi kulipiwa ada na Serikali, mzee Mwamakula amshangaa na kusema mawaziri hawana maono

    Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali. Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
  12. Jafo Ataka Wanafunzi Kutozuiwa Kuandikishwa Sababu Ya Kukosa Vyeti Vya Kuzaliwa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Mb) amesema ni marufuku mwanafunzi kuzuiliwa kuandikishwa darasa la kwanza kwa sababu ya kukosa cheti cha kuzaliwa. Jafo ameyasema hayo wakati wa ziara yake Wilayani Bahi kukagua uandikishaji wa wanafunzi wa...
  13. Huku tukijivunia ndege zetu, wanafunzi 52,000 hawana madarasa ya kusomea

    Habari za kutwa wanajamvi, Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa. Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua...
  14. Wanafunzi TAMOSE watelekezwa kwa muda wa mwaka mzima

    KWAKO WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Part I. TULICHOJIONEA MAPUTO KWENYE PROGRAM YA TAMOSE (Tanzania and Mozambique Students Exchange program):  WANAFUNZI WATELEKEZWA TOKA FEBRUARY 2019,  WENGINE WATUMIWA NAULI KIMAKOSA KABLA YA KUMALIZA MASOMO. • Wakata Rufaa...
  15. Singida: Idadi ya wanafunzi wanaopata mimba katika shule za msingi na sekondari imepungua kwa asilimia 66.66

    WANAFUNZI wanaopata mimba katika shule za msingi na sekondari Singida imepungua kwa asilimia 66.66 kutoka mimba 54 mwaka jana hadi mimba 18, Novemba 30 mwaka huu. Ofisa Elimu Sekretarieti ya Mkoa wa Singida (REO), Nelasi Mulungu alieleza kuwa kati ya idadi hiyo, wasichana wa shule za sekondari...
  16. J

    Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

    Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake mzee Freeman Mbowe amesema chama chao kinaamini kuwa Umaskini ni laana na kwahiyo wataendelea kuhubiri sera ya utajirisho. Mbowe amesema kila mwanachadema ni tajiri wa Roho hivyo wanakerwa sana na viongozi wa CCM wanaoukumbatia umaskini. Mbowe...
  17. Kibano wanafunzi watoro chawadia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha waraka kudhibiti utoro shuleni ambao pamoja na mambo mengine, utapunguza siku na kuwa chini ya 90. Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki jijini hapa na Mkurugenzi Msaidizi Msingi na Uendelezaji wa Sera wa Wizara...
  18. NHIF mnapokeaje hela za vyuoni wanafunzi hata picha hawajapiga na wala kadi hawana?

    Kuna watu wanataka kurudisha nyuma maendeleo ya Mh. Magufuli na kwa hili lazima tuwakatae mapema. Baadhi ya vyuo wanafunzi wamelipa hela za NHIF kama bima na mpaka sasa hawajapiga picha wala kupewa kadi za bima wengine inakaribia mwezi wa tano sasa - Ustawi wa Jamii - Mwalimu Nyerere Nani...
  19. D

    Kipindi hiki cha likizo wanafunzi

    Naomba kuwashauri wazazi wote najua vijana wengi hivi sasa wamefunga shule kwa ajili ya mapumziko, na ni wachache ambao wataendelea na masomo kama tution nk. Najua wengi wetu kama wazazi muda mwingi hatupo majumbani na tunakuwa katika shughuli zetu za utafutaji hivyo kuna uwezekano mkubwa vijana...
  20. K

    Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

    Habari za asubuhi wadau! Leo nilikuwa nasikiliza radio nikiwa kwenye daladala kwa kweli takwimu za wanafunzi wanaopata mimba ni kubwa sana. Huko mkoani Mwanza hali inaonekana ni mbaya zaidi. Kwa kweli takwimu inawezekana ni kubwa zaidi kwa sababu maeneo mengine ya nchi haya mambo hayaripotiwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…