wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2020 Tulikemee hili la Wanafunzi kuachishwa masomo kwa ajili ya kampeni za CCM

    Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano. Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao. Mwalimu mmoja jana akanitaka kama...
  2. Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  3. M

    Kipi kifanyike kuwanusuru walimu na kashfa ya ngono dhidi ya wanafunzi?

    Habari wanaJF, Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
  4. Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

    WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo kukamilisha masomo ya muhula wa pili wa mwaka huu, yatakayoendelea kwa wiki 11. Kwenye taarifa iliyotuma kwenye vyombo vya habari Jumanne, wizara hiyo ilifafanua kuwa ilifikia...
  5. GE2020 Wito kwa wanafunzi wote mliofikisha umri wa kupiga kura na wenye Kitambulisho cha Mpiga Kura

    Tarehe 28 -10-2020 Ni siku ya kupiga kura. Wito wangu Ni hivi, Jitokezeni kwa wingi, yaani hata mmoja wenu asibaki nyumbani. Nendeni mkapige kura Huku mkimkumbuka Mwanafunzi mwenzenu Marehemu Akwilina. Unapoingia chumba Cha mpiga kura Mkumbuke Marehemu Akwilina msichana Mrembo aliekufa kwa...
  6. F

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  7. TCU kesho tarehe 5 watafungua dirisha la pili la udahili wa wanafunzi vyuo vikuu au mpaka tarehe 12?

    Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana, nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi! karibuni ndugu zangu.
  8. Mamia ya wanafunzi wa Namibia wakutwa na Corona

    Namibia imethibitisha visa 11,373 vya coronaImage caption: Namibia imethibitisha visa 11,373 vya corona. Zaidi ya wanafunzi 300 nchini Namibia wameambukizwa virusi vya corona baada ya shule kufunguliwa. Wizara ya Afya imesema wanafunzi walioambukizwa wengi wao wanasoma shule za mabweni. Waziri...
  9. K

    Wapiga kura wanaohamishwa kimajukumu na wanafunzi waliofungua vyuo na shule kidato cha tano

    Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa wapiga kura ambao wamehamishwa vituo hivi karibuni na wanafunzi waliokwenda kuanza vyuo na shule...
  10. Dirisha la pili la kudahili wanafunzi wa vyuo vikuu linafunguliwa lini?

    Mwenye kujua naomba anijuze,nataka nijiandae mapema ili nisipitwe tena kama nilivyopitwa na dirisha la kwanza
  11. Tume ya Uchaguzi na suala la Wanafunzi kutolewa madarasani kuhudhuria mikutano ya kampeni

    Baada ya wiki moja ya kampeni tumepokea taarifa mbali mbali za mienendo ya kampeni. Kinachonifanya niandike huu uzi ni kitendo cha NEC kufumbia macho suala la wanafunzi kuamriwa kuacha masomo kwenda kuhudhuria mikutano ya kampeni. Ni kweli kuwa baadhi ya wanafunzi wana umri wa kutosha kupiga...
  12. G

    Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya mifugo 2020/2021 (September intake)

    Unaweza kutembelea Mwanzo |WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
  13. Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
  14. UTAFITI WANGU: Kwanini wanafunzi wengi (jinsia zote) wenye maendeleo mabaya shuleni huwa ni watu wa kujituma sana katika shughuli ngumu za nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  15. GE2020 Japo anafanya utani lakini ni kweli chakula kwa wanafunzi ni jambo la muhimu

    Mgombea wa Urais kupiti CHAUMMA amekuja na sera ya chakula kwa wanafunzi. Hii kitu niliielewa tangu awali lakini mahojiano yake ya dk 45 ITV yalinifanya nione kuwa mzee hayuko serious, wala hana mkakati wa kufikia anachokiwaza. Nafsi iliniambia kuwa ni kweli chakula kwa wanafunzi ni shida...
  16. M

    GE2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

    Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM. Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
  17. J

    Serikali yawaasa wananchi wanaotaka kusoma Elimu ya Juu kutotumia wanaojiita mawakala au washauri wa kujiunga na Vyuo Vikuu

    Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) imewataka wananchi wanaotaka kusoma elimu ya juu nchini kuwasiliana moja kwa moja na vyuo husika na kamwe wasiwatumie watu wanaojiita mawakala au washauri wa vyuo vikuu. Katibu mtendaji wa TCU, Prof. Kihampa amewataka wanafunzi wenye maswali au kutaka ushauri na...
  18. Wanafunzi wakifaulu wanasifia miundombinu, wakifeli wanalaumu walimu

    Tumeona baada ya matokeo ya form six kutangazwa na shule nyingi za Serikali kuingia kwenye 10 bora, sasa wameibuka wanasiasa, wakijinasibu namna matokeo hayo yalivyopatikana, wengi wanasifia majengo waliyojenga, madawati waliyonunua, na baadhi husifia jitihada za wazazi kusimamia watoto wao...
  19. Uzinduzi: Habari za Utopolo kufungwa na wanafunzi wa chuo ni za kweli?

    Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi. Hizi habari zi za kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…