Mwalimu Mkuu huwezi kuunda tume ya kuchunguza KELELE za wanafunzi wakati umezisikia kuwa;
1.Monitor haandiki majina ya wapiga kelele
2.Mwl wa darasa hawasikilizi wanafunzi
3.Mwl wa nidhamu hawajibiki ipasavyo.
Kutokufundishwa na Mwl wanafunzi wataanza kuongea wao kwa wao mwisho huzaa kelele.
Zaidi ya wanafunzi 2000 Ilemela Mwanza wanakaa chini
Zaidi ya wanafunzi 2000 wa shule za msingi katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wanakaa chini kutokana na shule hizo kukabiliwa na ukosefu wa madawati.
Wanafunzi 600 ni kutoka shule mbili za Kayenze na Chasubi ambao wanakaa chini kutokana...
Wakazi wa kata ya Mavanga iliyopo wiliya ya Ludewa mkoani Njombe wamewalalamikia walimu wakuu pamoja na Afisa elimu wa kata hiyo kwa kuwalazimisha kulipia fedha kwa mtoto atakayeshindwa kufika shuleni pamoja na kuwalipa walimu wa kujitolea.
Wakitoa malalamiko hayo mbele ya mbunge wa jimbo la...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo
Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
Natumaini mnaendelea vema na shughuli za ujenzi wa familia zenu
Leo napenda kuongelea sababu zinazochangia kuua elimu katika nchi yetu ya TANZANIA
Nitaongelea sababu hizo kutokana na uzoefu wangu katika sekta ya elimu
SHULE ZINAZOMILIKIWA NA WATU BINAFSI
Shule ZINAZOMILIKIWA na watu binafsi...
Nitaandika kwa kifupi sana kwa kuwa hii ni hoja isiyo hitaji maelezo mengi. Hoja yangu ya msingi ni hii Badala ya serikali kuwafungia ndani wafungwa na kuwatumia kufanya usafi mara moja kwa wiki tuwatumie wafungwa hawa kuzalisha chakula cha wanafunzi mashuleni na kitolewe bure pia, kwa wanafunzi...
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NA VIJANA TUWAZE KUJIAJIRI KULIKO KUAJIRIWA.
Habari za wakati huu Watanzania wenzangu.
Leo nimeamua kuja kuandika chapisho hili ili kuweza kuwafungua akili wanafunzi wengi wa vyuo vikuu pamoja na wahitimu wa vyuo ambao hawana ajira waliopo mtaani wanaosubiri ajira...
Nawasalimu wana jukwaa,amani iwe nanyi!
Kwanza kabisa naomba nimshukuru Mungu kwa kunijaalia uzima hadi ninapoandika andiko hili sina budi kusema Alhamndulilah!
Bado kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa kulingana na idadi kubwa ya wanafunzi hasa shule za mijini japo mahitaji ya serikali...
Habari zenu viongozi!
Ni dhahiri Tanzania inakwenda kuwa serikali tajiri. Serikali ambayo haitakuwa tegemezi kwa namna yoyote ile.
Kuna changamoto nyingi nchini katika sekta za afya, elimu, na uchumi.
Nikianzia sekta ya elimu , serikali itoe chakula cha mchana bure mashuleni. Huku msingi na...
Hali ni mbaya sana kwakweli tangu makato na tozo mpya zianze tarehe 14/07/2021 kwa wanafunzi wanaoomba vyuo na mikopo ya elimu ya juu na kufanya miamala ya simu kumewaumiza sana ukizingatia mzazi anapambana na kudunduliza mwanae angalau apply chuo. Wanafunzi wengi angalau kulingana na ufaulu...
Habari!
Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni.
Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu kwa kuondoa ada au kuwalipia ada wanafunzi wote wa chuo kikuu huku ikiwapa angalau mlo mmoja...
Habari wanajukwaa;
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha kusomea baada ya Necta kutangaza matokeo yao.
Pili na mwisho katika utambulisho,hongereni sana vijana...
Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano.
Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa.
Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
Kufuatia matukio matatu ya moto katika Shule ya Sekondari Geita ndani ya siku saba na kusababisha wanafunzi watatu kujeruhiwa, maabara na darasa kuteketea kwa moto, mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameiagiza bodi ya shule hiyo kuwafukuza wanafunzi 11 waliobainika kuwa na makosa ya...
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
Ndalichako...
antony mtaka
elimu
kufanya
kupinga
kuvunja
maagizo
magufuli
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
nchini
ndalichako
nguvu
profesa
sera
sheria
wanafunzi
wapi
watanzania
waziri
waziri wa elimu
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani
Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
Na Mwandishi Wetu,
Busokelo-Rungwe
*Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha
Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe.
*Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao
Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na ongezeko la matatizo ya ujauzito na utoro yaliokithiri kwa wanafunzi wa shule za...
Wanafunzi zaidi ya 400 wa shule ya msingi Ifwagi, iliyopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wapo hatarini kuugua magonjwa ya kuhara kutokana na shule hiyo kukabiliwa na changamoto ya vyoo, hali inayowalazimu baadhi yao kujisaidia ovyo vichakani.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa atoa majibu, soma hapa...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Geita kwa kushirikiana na askari wa GGM wamedhibiti moto uliowaka kwenye moja ya darasa la Shule ya sekondari Geita iliyopo mjini Geita.
Moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana umeanza kuwaka saa 3 usiku na kuteketeza magodoro na masanduku ya wanafunzi...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021.
karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.