wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Lecturer UDSM azawadiwa na Wanafunzi

    Katika kuendeleza dhima ya Uchumi wa viwanda wanafunzi wamemzawadia lecturer wao viatu na shati . Kazi ndo imeanza. **Wakihojiwa wanaonyesha kufurahia tendo hilo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi wapandisha nauli kwa wanafunzi, SUMATRA na Polisi wabariki kadhia hii

    SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus. Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hii design ya dressing table inawafaa wanafunzi

    Baada ya kiapo una book shelf, chini una storage.
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

    TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Akwilipo: Wanafunzi waliopata mimba Tanzania kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi. Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Mwalimu afariki kwenye ajali ya gari, wengine 11 wakiwemo wanafunzi wajeruhiwa

    Mwalimu Jumanne Makandilu amefariki dunia huku watu wengine 11 wakiwemo wanafunzi 7, wakazi wa Mkoani Songwe wakijeruhiwa baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara. Chanzo: ITV
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni lini vyuo vyetu vya elimu ya juu vitakua chanzo cha mapato kwa Taifa kwa kusajili wanafunzi nje ya Tanzania?

    Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi za Afrika hususan Makerere Uganda, Kenyata Kenya, Afrika ya Kusini, Nigeria, Misri, Botswana. Hizi...
  9. msovero

    JamiiForums Tanzania Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

    WALIMU SITA, WANAFUNZI MIA SABA Mwabusalu Sekondari, Meatu Simiyu (Miaka 3, DIV I-0, II-7, III-14, IV-74, O-9) Habari Gani Tanzania? Shule ya Serikali ya Upili ya Mwabusalu (SLP 232) iliyopo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu inakabiliwa na uhaba wa walimu kwa miaka mingi sasa. Mwaka huu wa 2021...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
  11. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Pana wanafunzi wanaopata "A" ya Economics A-Level?

    Pana wanafunzi wanaopata "A" ya Economics A-Level? Naomba kufahamishwa.
  12. beth

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

    Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso. Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani. Ametoa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China: Mitihani ya kuingia chuo kikuu yabadilisha na kuamua maisha ya baadaye ya wanafunzi

    Hivi sasa wanafunzi wengi wapo katika kipindi muhimu sana hususan wale wanaomaliza masomo yao ya sekondari ya juu na ambao wanajiandaa kujiunga na taasisi za elimu ya juu au vyuo vikuu ili kuanza masomo yao katika kozi tofauti. Kuna wale ambao wanafurahia kumaliza hatua moja na kukaribisha hatua...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kidato cha 5 wanaanza lini Kusoma?

    Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia. Kiukweli 24/7...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

    Habari zenu ndugu wa Jamii Forums. Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

    Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa. My take; Jaffo alikuwa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania hatujui nini tunachotaka au tunafanya maishani

    Watanzania wengi tumekuwa bendera fuata upepo ndio maana misimamo ya kile tunachofanya kuanzia elimu, siasa, sanaa, michezo, maisha, baishara na n.k ni kama tunaangalia au kukipokea kwa haraka wimbi hili. Wanafunzi kwa sababu fulani anasoma PCM na wewe unaenda tu. Wanafunzi wa vyuo nao ni...
  19. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa Mwalimu nilionyesha kwanza uwezo wangu wa kufundisha kabla sijaleta ushawishi kwa wanafunzi nilibobea sana kufundisha A level Physics

    Yaani haujashika hata chaki haujaanza hata kuandika wanafunzi hawajakuelewa kuwa unafundisha vibaya au vizuri unaanza kujisifu tu mm ninajua kufundisha bila hata kusolve hata swali moja. Nawashauri waalimu mnapotaka kuleta ushawishi wa namna yenu ya kufundisha fundisheni tu kwa juhudi na...
Back
Top Bottom