walimu

  1. JamiiForums Tanzania Ukufunzi wa Vyuo vya Walimu vya Diploma na Certificate

    Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza? Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa hzo utaratibu wake upoje? Je mwl akiwa na sifa hzo tajwa ili ajiunge kwenye vyuo hivyo utaratibu...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu washauriwa kuepuka mikopo ya 'Kausha Damu' kwa kuwekeza fedha zao benki

    Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe. Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

    Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili. Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Nini walimu wa kiume masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu (hawajipendi)ukilinganisha na wale wa masomo ya Sanaa(Arts)?

    Wadau nimefanya utafiti mdogo Kwa nini walimu wa kiume wanaofundisha masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu kimuonekano ukilinganisha na masomo ya Sanaa?
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

    HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule. Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani...
  7. JamiiForums Tanzania Walimu wanajidhalilisha kutokana na yafuatayo:

    Katika uchunguzi wangu nimebaini mshahara wa Kanda ya ualimu kibongo bongo ni mkubwa kiukweli ila nikabaini mambo yafuatayo ndio yanaifanya Kanda hiyo kudharaulika katika jamii... 1.Mavazi hasa walimu wa kiume wanavaa suluari Pana za kijivu na mashati mekundu. 2.Viatu vyenyewe four angle...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje.

    Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa mwezi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje

    Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU Nendeni Mikocheni Sekondari mkaone Walimu wanavyodai Rushwa Waziwazi Kwa Waliomaliza Form4

    Kwema Wakuu, Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old Bagamoyo Road) kituo kimoja kabla ya Clouds. Sasa wanafunzi hawa waliomaliza form 4 ili wakabidhiwe...
  11. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia mbadala zinazoweza kusaidia tatizo la upungufu wa walimu mashuleni

    NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI. UTANGULIZI: Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko haya katika elimu yatachochea uwajibikaji

    Moja, kuanzisha somo mahsusi la katiba na sheria kuanzia shule ya msingi na ngazi ya sekondari. Mabadiliko haya katika mtaala wa elimu yatachochea watu kujua sheria na umuhimu wa kuzitii na kufuata sheria katika maisha ya kila siku. Maudhui ya somo hilo ni katiba ya nchi na sheria zake. Ni...
  13. JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

    Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo. NB: Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara...
  15. JamiiForums Tanzania Nigeria: Walimu watishia kupunguza siku za kufanyakazi, ziwe siku mbili tu

    Umoja wa Walimu wa Elimu ya Juu (COEASU) unaojumuisha vyuo 252 umetoa tamko kuwa Wanachama wake wanatarajia kuanza kufanya kazi kwa muda wa siku mbili kwa wiki kama Serikali haitapunguza gharama za maisha. Walimu hao wanataka nyongeza ya mshahara kwa asilimia 200 ili waweze kuendana na gharama...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

    Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma 1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS, 2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma) 3. Usafiri...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Anayewadhalilisha Walimu ni matendo ya baadhi ya walimu wao wenyewe

    Itoshe kusema kada ya walimu imeingiliwa na mamluki! Zamani ilikuwa rahisi sana kuwachambua walimu kwenye kundi la watu pasipo hata kujitambulisha, lakini sasa hivi kwenye kikundi cha watu mtaani wakichanganyika wa kike na kiume huwezi kutofauti uvaaji wa mwalimu na muimba singeli, wote...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera usiingilie sana masuala ya Walimu na Wanafunzi utawatia ukaidi zaidi wanafunzi

    Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya kinidhamu unakosea sana. Nadhani umeaona mlivyo dhalilika kwenye swala la yule binti wa Dandahili...
  19. JamiiForums Tanzania Matatizo ya vishikwambi vya walimu

    Kwanza niipongeze serikali kwa kutoa vishikwambi kwa walimu, Kuna ufanisi na urahisi Fulani wa kazi umeongezeka katika shughuli za kujifunza na ufundishaji.. mpaka Sasa nimekutana na zaidi ya vishikwambi 10 vya walimu hususani "PRITOM 10 MAX" Na nimeona matatizo karibu sawa kama ifuatavyo.. 1...
  20. JamiiForums Tanzania Chama cha walimu, ukweli ni upi?

    Nimekuwa muumini sana wa kusoma magazeti kila siku kujua yanayojili ijapokuwa nilichobaini waandishi wengi ni wanafki wakubwa walioamua kuiacha kalamu yao na kufuata upepo wa kisiasa! Habari zao ni za kutabirika na za mezani zaidi kuliko za kuzitafuta na kwa sasa ni za kumpamba mtawala aliyeko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…