Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,121
- 527
Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza?
Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa hzo utaratibu wake upoje? Je mwl akiwa na sifa hzo tajwa ili ajiunge kwenye vyuo hivyo utaratibu wake upoje.
NAOMBA MWENYE UELEWA ATUPE ELIMU KIDOGO NA KUTUPA MWANGA ZAIDI