walimu

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Oktoba 5, Siku ya Walimu Duniani, una ujumbe gani kwa Mwalimu wako leo?

    Siku hii huadhimishwa Oktoba 5 kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Pendekezo la ILO/UNESCO mwaka 1966 kuhusu Hadhi ya Walimu lililoweka viwango kuhusu Haki na Wajibu wa Walimu. Pendekezo hilo huangazia viwango vya maandalizi yao ya awali, Elimu ya ziada, Ajira pamoja na Masharti ya...
  2. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Walimu pasipo malipo ya overtime msikubali hili jambo

    nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka...
  3. vnn

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

    Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Itachukua muda mrefu sana kwa walimu kuweza kujisimamia na huenda isitokee kabisa!

    Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake. Wanadhani wao watakuwa salama? Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu. Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na...
  5. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko wa kutisha unaendelea Chama cha Walimu Tanzania

    Kama tulivyowahabarisha hapo awali juma hili hili kwenye jukwaa hili hili, Chama Cha Walimu Tanzania kimeendelea kupigwa vita na waliokuwa viongozi wa awali huku wakiendelea kupata msaada mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali ambao kwa sasa wamekwishaungana kwa ajili ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi. Homera amefikia uamuzi huo jana...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu mbaroni wakidaiwa kufanyisha wanafunzi wa Sekondari Mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia walimu wanne kwa tuhuma za kuwafanyisha mitihani ya darasa la saba wanafunzi watatu wa sekondari katika Shule ya Msingi Igulumuki Wilaya ya Sengerema mkoani humo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Ijumaa Septemba 22, 2023; Kamanda wa Polisi...
  8. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Nawapenda sana walimu wangu ila CWT kinawasaidia Nini?

    Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda
  9. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT imekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  10. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT kimekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji.

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  11. Kyamiki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  12. carnage21

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in chemistry and physics

    Habarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM,naomba kujua ipoje na hawa watu wanaajiriwa kama walimu au vipi?
  13. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji kwa Walimu wanaofundisha shule ya St. Matthew

    Natumaini mu-wenye afya njema. Poleni na mapambano ya kila siku. Ni mara yangu ya kwanza kuandika katika jukwaa hili hasa baada ya kuwa nasoma maandiko mengi tu ya wadau mbalimbali yanayohusu mambo mengi katika jamii zetu. Ni jukwaa pendwa pia kuwazungumzia watanzania wenzetu ambao wanashindwa...
  14. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Pigo kubwa na lenye madhara kwa Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania kimepitia misukosuko kadhaa ambayo isivyo bahati imekiyumbisha chama hadi kukiuka Katiba, kanuni zake na maamuzi mbalimbali ya vikao vya chama. Hali hii imejitokeza baada ya kufariki kwa aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Bakari Kilo Msulwa ambapo nafasi yake kwa mujibu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Walimu na wanafunzi wa Fizikia - Tamkeni vema jina Albert Einstein

    Najua si watu wengi hapa kwetu wamejifunza lugha ya Kijerumani na wala siwalaumu walimu wetu wa Fizikia kwa kutolitamka vema jina la nguli wa hisabati na newtonian mechanics - Albert Einstein. Tafadhalini walimu na wanafunzi tamkeni jina lake hivi: ALBART AINSHTAIN. Kwenye sarufi ( grammar) ya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Watahiniwa 1,397,370 kuanza mitihani ya kuhitimu msingi

    https://www.youtube.com/watch?v=S09urvRNEIg JUMLA ya watahiniwa 1, 397, 370 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kesho Septemba 13 na 14 nchini kote. Kati ya watahiniwa hao, 654,652 ni wavulana sawa na asilimia 46.85 na wasichana ni 742,718 sawa na asilimia...
  17. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walimu wasisimamie uchaguzi

    Amesema walimu wote niwaoga wanatishwa na kuperekeshwa na wakurugenzi kuiba kura za wananchi . ====== MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kabla ya Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao, kuna haja kufanya kila linalowezekana...
  18. Diwani

    JamiiForums Tanzania Walimu nawaita tafadhali

    Habarini Walimu, heshima yangu kwenu haitokani na kuwajua kama Walimu kwa sababu nilifundishwa nanyi, au kama Mwananchi kusema naishi nanyi humu mtaani. Hapana, heshima hii inatokana na mimi mwenyewe Kuwa Mwalimu. Nimekuwa Mwalimu, si kwa kufundisha darasani tu bali kwa kusomea fani husika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ukufunzi wa Vyuo vya Walimu vya Diploma na Certificate

    Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza? Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa hzo utaratibu wake upoje? Je mwl akiwa na sifa hzo tajwa ili ajiunge kwenye vyuo hivyo utaratibu...
Back
Top Bottom