William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Jaokuwa Ni nchi ndogo yenye watumishi wengi kuliko Tanzania tuangalie tu jinsi Kenya inavyohudumia vizuri walimu wake kuliko Tanzania.
Kenya iko na watumishi milion 1 wa umma ukilinganisha na lakisaba tu wanaohudumia umma mkubwa Sana Tanzania. Hii inamaanisha utumishi kenye uhudumia wateja wachache karibu nusu ya wale wanaoudumiwa na kila mtumishi hapa Bongo.
1. Mwalimu wa cheti anayeamza kazi wao humuita grade B1 hupokea jumla ya shilingi za kitanzania laki9 ikiwa ni karibu Mara mbili ya Tanzania.
2. Kwanza Hupokea mshahara karibu sawa na wa bongo tsh 445,000/- kwa mwezi.
3. Baada ya hapo Sasa hupata ruzuku kibao za moja kwa moja Kama pakege kwenye pato lake kila mwezi yani.
Lakini Zipo ambazo hugusa walimu baadhi mfano. Posho ya madaraka, ya cheo,
Hivyo upelekea pato la laki 9 kwa anaanza kazi. Na pato la karibu million na laki sita kwa mwenye digree anayeanza kazi. Wakati bongo hupata chini ya nusu ya pato Hilo.
Lakini Tanzania kunasehemu tumekwama. Kenya inatuzidi raslimali gani jamani?
Tanzania allowances ziliwekwa kwenye mshahara alafu zikafutwa kabisa na kuwaacha watumishi hoi.
Ni wakati muafaka wa serikAli kitenganishi pato la mshahara na allowances ili kumkwamua mwalimu kwenye kipato.
Kesi za walimu kudaiwa, kutapeliwa kuzulumiwa Ni nyingi Sana. Kushikwa kadi zao kwenye mikopo umiza na kuishi katika makazi duni, Sababu mshahara haumudu kufanya chochote kabisa zaidi ya kudhalilika tu

- house allowances tsh 130,000 kwa mwezi
- medical (No longer paid to teachers; deducted and paid directly to Minet insurance and another is given to the NHIF)
- commuter allowances tsh 84,000/-
- hardship alowance 120,000/-
- Leave allowance 100,000/-