kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,240
- 2,987
Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu.
Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita
Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka.
Ninachoona ni kwamba program za ualimu kwa muda mrefu zimewekewa vigezo vigumu kuliko 90% ya program nyinginezo ikiwemo za afya
Nitaanza kutoa maelezo ya program za diploma, kisha nitamaalizia kwa degree (hapa angalau kuna point japo sio 100%)
Mfano, diploma za program za afya huwa wanahitaji D nne tu, lakini diploma ya ualimu ilikuwa lazima uende advance, japo kwa sasa unaweza ukaenda ukiwa umemaliza form four ukiwa na division one hadi three
JE NI PROGRAM GANI INAIZIDI UALIMU KWA VIGEZO (MINIMUM REQUIREMENTS) kwa diploma??
I'm ready to be corrected
NO EVIDENCE NO RIGHT TO SPEAK