wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  2. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu

    Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
  3. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

    Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo. Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake. Na tena nakazia. Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali wakopesheni wakuu wa shule magari kwa lazima

    sababu zangu ni hizi hapa; 1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Napendekeza Wakuu wa Mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani badala ya teuzi kama awali

    Napendekeza wakuu wote wa mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani. Napendekeza nafasi zianze kutangazwa punde nafasi ikiwa wazi ili wenye sifa wajitokeze na wafanyiwe usaili na iwe hivyo hivyo kwa bodi. Wenye sifa ndio wafanyiwe upekuzi kufanyiwa uteuzi na kupewa mkataba wenye malengo...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilitakiwa kufa 2014, wafuatao ni Wasaliti wakuu na Mamluki waliopandikizwa

    Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema. Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya kujazia mafuta bodaboda ili wakampokee mkuu wa nchi ni kumhadaa kuwa anakubalika wakati si kweli

    Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama? Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu. Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu. Hii imetokea kila mahala. Msilete...
  8. JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  9. JamiiForums Tanzania Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    Always people are there to hear the negative stuffs. 😁KID
  10. JamiiForums Tanzania Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

    Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
  11. JamiiForums Tanzania MSAADA: Anuani ya Jesuit Refugee Service

    Heshima kwenu wakuu. Natumai mmeamka vyema kabisa, naomba mwenye kufahamu anuani ya Jesuit Refugee Service (JRS) anisaidie niweze kutuma barua ya maombi ya kazi wakuu. Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Bima ya Afya ya NHIF

    Nahitaji Bima ya NHIF mimi na watoto wangu wawili pamoja na Mama Mzazi. Hiyo Bima iwe nation wide (nchi nzima) Mimi sio mtumishi wa Umma Wala sekta binafsi nimejiajiri. Wakuu Jambo la Pili nahiitaji ..Kupata mchanganuo wa gharama kwa mwaka Ahsante na Mchana mwema. Muhaya original
  13. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Msingi Tandahimba awalazimisha Walimu Wakuu kuchangia mitihani ya utamilifu kwa pesa za mfukoni mwao

    Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
  14. JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Ndo kama hivyo, halafu nikiangalia maendeleo niliyonayo daah. Inabidi niwe serious na nirudi kwa muumba wangu ndo nilivyoamua hivyo, ili mwaka ujao tarehe kama ya leo panapo majaliwa niwe mahali fulani penye afadhali. Asanteni.
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mifupa kwa ajili ya mifugo huwa mnaipata wapi kabla ya kusaga?

    Nina mashine so far nimeburuza mashudu na mahindi, mifupa sijui napata wapi. msaada wadau
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni kumbukumbu nzuri sana kwenye Soka Letu

    Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba. . Hakika alikuwa moto sana na miguu yake kama imechomekwa ivi😃😃 hakika tulipata burudani. Zamoyo mogella, pia huyu nae alikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Madhila ya Force Account: Mwalimu afungwa kwa kula pesa ya ujenzi

    Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake. Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi. Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula. Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu acheni michepuko

    Mwanaume sikia hii uwe mume bora Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee Mithali 31 :3 Usiwape wanawake nguvu zako : Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Nampongeza Mbowe pamoja na viongozi wakuu wa CHADEMA

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile...
  20. JamiiForums Tanzania Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…