wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa freelancer naomba mnisaidie kuandika proposal

  2. JamiiForums Tanzania Newcastle United anasiri gani wakuu? Nimefatilia uwezo wake safiri hiii anatisha

    Wakuu hongerani na kazi. Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league. Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool...
  3. JamiiForums Tanzania Nitateua Makatibu Wakuu wa Wizara Wanajeshi waliokula Kiapo cha Kifo nikishika hatamu

    Wakuu KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika. ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI katika wizara mbalimbali nchini,ipo haja ya kuteua kada ambayo itakula kiapo cha KIFO!kabla ya...
  4. JamiiForums Tanzania Threads zinazosimulia matukio ya kijasusi zinapatikana wapi?

    Hope wote mmeamka salama.Kwa wale wenye changamoto poleni.Mungu awe faraja kwenu. Mimi ni mpenzi sana wa kusoma historia mbalimbali hasa hasa zinazoohusu OPERATIONS ZA KIJASUSI.Saivi nipo likizo kijijini muda mwingi nautumia kujisomea mambo hayo (nashinda ndani sitaki kuzurula).Nimejikuta...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wakuu siku hizi wamekuwa wasimamizi wa Majengo

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena! Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu msimu wa kilimo umeshaanza. Twendeni shamba ili msimu wa mavuno tusiilaumu Serikali

    Mara oooh mazao yanaenda nje serikali Ipo tuu. Sasa wakuu twendeni tukalime ili tuwe pamoja na ndugu zetu wakulima watapoanza kuuza mazao Yao nje siye tujilie tu. Tuacheni mazoea tukalime. Wanangu twendeni mvomero, Usangu, Kahama na maeneo mengine tukalime mpunga tujipatie chakula Cha Bure.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anafanya kazi nzuri sana. Sasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanyaga kazi gani?

    Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana. Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hapa tecno kaanza kustaarabika

  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC

    Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC
  10. JamiiForums Tanzania Taifa letu linateketea kwa uchawa wakuu

    Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
  11. JamiiForums Tanzania Madhara ya uchumba wa muda mrefu kupita kiasi

    1. Uchumba wa mda mrefu Hufungua mlango wa uasherati. Uchumba wa mda mrefu kupita kiasi hufungua mlango wa dhambi ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kati yenu, kwasababu mtakuwa mmetumia muda mwingi mrefu kuwa pamoja na kujihalalishia uhalali wa kushiriki tendo la ndoa kwa kujiona tayari...
  12. JamiiForums Tanzania Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

    Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
  13. JamiiForums Tanzania PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

    Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili. Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa mnashindwa kuiga ubunifu wa Chalamila?

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika. Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa. Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi...
  16. JamiiForums Tanzania RC Iringa na maandamano ya feki ya wakulima Iringa kumpongeza Rais Samia

    Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa. Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu kuhusu Mkopo wa Elimu ya Juu

    Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nimechaguliwa chuo cha st. Francis course ya MD Lakini sikubahatika kupata mkopo wa Ada maana nimepewa boom peke yake na kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu hivyo bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa Je, nifanye nini ili kufuta admission na...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji msada wenu kwenye hili wakuu

    Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nlichaguliwa chuo kikuu cha St. Francis morogoro course ya MD Lakin sijabahatika kupata mkopo wa Ada maana nilipewa boom peke yake Sasa kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu sana hadi Sasa hivi bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa. Je, nifanye nini...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu tunaomba matokeo kombe la Dunia- Huku kwetu hakuna umeme

    Wakuu heshima sana. Huku kwetu madongo kuinama hukuna umeme. Mitaa ya matejoo,Kambi ya Fisi,Matevesi,Olkeriani,Olkokola,Kaloleni,Ngarenaro,Daraja II,Mkonoo na vitongoji vingi hakuna umeme. Kwakuwa Sisi waTanzania tumejaa upendo,tunawaomba wale wote waliojaliwa kumiliki majenereta wasisite...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu tutafte hela, huyu dingi anakula mali safi, anaendesha Range Rover.

    Mzee anasukuma hii mali safi kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…