Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
Tumia whatever,usisubirie results Bali fanya experiment ili upate jibu kamili. Fanya research uje na jibu lako mwenyewe. Mana hii dunia kila mtu anayo biased or subjectivity zake.
Wanaweza wakawa hawachukui Ila wewe kwenda wakakubali ama nyota yako ikashine ukakingiwa kifua ukapita. Mana wanaweza wakakuambia katuletee letter ya Dean or vice kudhibitisha. Yaani Siri huwa Ni kujilipua Basi kikubwa usivunje Sheria tu.
Our future is full of uncertainty none knows how/what will be tommorow,even one second ahead of us.
Embrace uncertainties that's all about our life. Even though we don't want to embrace this reality of our life.


Samahani Kama sijakujibu Ila mie nimejaribu kujikita kwenye mzizi Ila uwe free.

Mfano hapo hujui labda you're future IGP or waziri wa Mambo ya ndani. Jpm and Dr (honorary) Mama Samia Khassan suluhu hakujua Kama watakuwa maraisi wa Tanzania.

So our future is full of uncertainties.
 
Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
Me nina uzoefu nilishaomba hizo nafasi mara nyingi tu hawatakagi transcript,weka vyeti kama hauna omba jaribu ila hawakubali
 
Hakuna jibu ambalo Ni objective jamani. Kama Ni ivyo why huwa Mambo hayaendagi Kama yanavyoandikwaga kisheria lakini. Watu tunapenda mno black or white life/answers or whether it's zero% or 100%. Ukipata odds ziko hata above 25% hizo Ni kubwa mno kufanya decisions that may favour your side.
think in probabilistic mentality. Anything can happen just be prepared with any scenario/outcome. Be impartial na sio biased na one side outcome. Sasa wapo walivyo na documents zote hizo hawachukuliwi na ambao wanazo pungufu wanachukuliwa.
None can know what's going to happen.

Ila bana ishi life lako la maamuzi hatupangiani namna ya kuwaza. Sema namie naandika hapa beliefs zangu Kama zilivyo beliefs zingine like yanga vs Simba beliefs,ccm vs cdm beliefs, west vs east beliefs, dini fulani vs dini Ile beliefs kuwa ndio sahihi mbele ya Muumbaji wetu, ke educated vs ke uneducated kuwa Ni wazuri kuoa.

So don't be inclined by own beliefs. Hizi difference of our beliefs ndizo zinafanya maisha yanasonga. Hebu imagine wote tungeona kitu kimoja tungekuwaje isitoshe wote tungekuwa sawa.
Wote tungenunua mpunga tukatunza kusubiria Bei ipande,wote tungeoa wasomi, wote tungesomea udaktari labda ndio una salary kubwa yaani whatever.

Ila Muumbaji fundi Sana yaani Ni Engineer namba moja.
 
Ni muhimu kuwa nacho ila kuna baadhi hupita pia hata kama hawana. So apply bahati inaweza kuwa yako.
Amepita nani bhna tusianze kudanganyana apa ushaambiwa cheti cha jkt ni lazima uwe nacho alaf mtu ashasema hana unamwambia aapply acheni matumiz mabaya ya muda unless kama una mbuyu utakao kubeba sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio kazi achana nayo mzee kapige mbishe zingine.

Tunajua ulivyo mwana trust me unaenda kuwa MKUDA na Wana tutakutenga.
 
Je mfano umepitia Mujibu JKT unaweza omba Kupitia Form four
Kuhusu mujibu kwa kweli am not so sure ila coz wamesema wanataka wenye vyet vya jkt na kile cheti cha mujibu pia nacho ni cha jkt me naona unaweza ukajaribu kwa iko cheti u never know maana hata wenyew ukisoma tangazo lao vizuri wamegeneralize tuu hawajaspecify kama ni mujibu au volunteer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu mujibu kwa kweli am not so sure ila coz wamesema wanataka wenye vyet vya jkt na kile cheti cha mujibu pia nacho ni cha jkt me naona unaweza ukajaribu kwa iko cheti u never know maana hata wenyew ukisoma tangazo lao vizuri wamegeneralize tuu hawajaspecify kama ni mujibu au volunteer

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana nayo ni changamoto
 
Back
Top Bottom