alex001
Member
- Nov 23, 2022
- 20
- 10
Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nimechaguliwa chuo cha st. Francis course ya MD Lakini sikubahatika kupata mkopo wa Ada maana nimepewa boom peke yake na kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu hivyo bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa
Je, nifanye nini ili kufuta admission na niwe mwanfunz huru ili niweze kuapply chuo kingine tofauti na hicho mwakani.?
Je, vipi kuhusu mkopo nitapewa niki apply tena mwakani.??
Je, nifanye nini ili kufuta admission na niwe mwanfunz huru ili niweze kuapply chuo kingine tofauti na hicho mwakani.?
Je, vipi kuhusu mkopo nitapewa niki apply tena mwakani.??