Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,909
Mzee anasukuma hii mali safi kabisa.
KabisaUjinga mtupu.
Kama wanaigiza sawa.
Mkuu hiyo inaitwa dying with dignity.Wazee wangetakiwa waangalie familia ya mengi na alicho kiacha...baada ya hapo wajipime.
Mrema nae alioa mdada mdada hivi alifaidigi nini!!!?? Ubatili tu...... Masanja nae na ujana wake,pamoja na kuweza kukidhi mahitaji lkn matokeo yake?
Mauti hayachagui mbinu ya kukuchukua .... Miaka 80 utakuwa unafanya nini kitandani na vitotoMkuu hiyo inaitwa dying with dignity.
Mrema, Mengi, Trump nk. Mzee wa miaka 80 kula ama kufa huku unakula katoto ka miaka 25 ni dying with dignity.
Mimi mwenyewe nikifanikiwa kufika 80, hivi vitoto ndio vitaniua. Nzi nifie kwenye kidonda.
Ni heri nifie kwenye nyapu kuliko kufa kwa malaria, huo ni ujinga.